Jihadhari na kununua hizi simu toka Google Pixel mwaka huu 2026

Ila iPhone ni simu zinadumu sana. Build quality ni ya juu simu ukiachana na battery kushuka viwango mambo mengine inaendelea muda mrefu. Na software support miaka inatosha ingawa siku hizi top Androids nazo zinatoa miaka mingi kwa flagships zao.
Hata resale ya iphone ni nzuri zaidi ya samsung na pixel
 
Vip kampuni ya Sony?
 
Sony gemu lilikua gumu wakaungana na Erickson wakaja na vibe ya SonyErickson sijui waliishia wapi maana walifanya vizuri kwenye camera zao tu..
Sony ni kama Nokia tu,wanatangeneza vitu vikali tatizo lao kubwa ni marketing tu!!!
 
Sony ni kama Nokia tu,wanatangeneza vitu vikali tatizo lao kubwa ni marketing tu!!!
Nokia na Sony si ndio walipinduliwa na hawa Samsung maana miaka ya nyuma Nokia ya Finland au Vietnam wameuza sana wakaja Brackberry nao wakapotea ndio hawa wakubwa wawili wameshika soko Iphone na Samsung ila kabla Samsung walikua na zile za antenna za blue zilifanya vizuri sana.
 
Hahhh na sony experia😃
Hizo simu zilikua zinasafarisha mawimbi ya sauti hata kabla haujaongea kitu pamoja na Phillps na simu moja waliita twanga pepeta bila kusahau Nokia 3310...na 6610i.
 
Duhh hapo naijua nokia tu
Wewe si wa juzi tu hapa Tzd sio si wengine ni zile Isuzu Injection kuwaka lazima upaki kwenye mlima kutoka unastua kwa kutoa kigogo starter haifanyi kazi na dereva hawazi kuitengeneza leo wala kesho..
 
Ukikuwa unajua vitu mno sio? Wengine cm tumetumia hazifiki 10 🙆🏽‍♀️
Daah wewe mpya kabisa unanitamanisha sema nishaweka kisu kwenye Ala mimi hata idadi ya simu au magari sikumbuki niliwahi kuleta Honda Ballade Tanzania automatic za kwanza kwanza walikataa walisema automatic car ni za kike nikaicha Mbeya hapo ila niliuza 505 Peugeot Manual wabongo wana visa baadae zilipoanza kuingia auto wakaitaka wakati nishaghairi kuuza tena..
 
Hahaha sina huo upya basi tu sio mambo yangu, hii ninayo miaka mi4 sasa🙆🏽‍♀️ Hayo magari ndio sielewi kabisaa😆
 
Hahaha sina huo upya basi tu sio mambo yangu, hii ninayo miaka mi4 sasa🙆🏽‍♀️ Hayo magari ndio sielewi kabisaa😆
Wewe mpya kabisa ngoja nipite huko mwakibete ntakuona miaka minne si 2021..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…