Hiyo ni simu kweli sema ngoja tuiweke kwenye uangalizi maana hizo Pixel zinazima aisee kuna jamaa angu kila akienda Canada anarudi na toleo jipya ila kwa kuzima na mistari ni kawaida ila zinakaa na chaji sana naamini hii itakua haina changamoto kama hizo zingine maana kuna mtu nataka nimnunulie hiyo nikienda Nairobi ntapata mpya.