Kwa ufupi, ili uwe mbali na uchungu fanya hivi:Nini kifanyike ili tusiwe na machungu?
Nimefurahi sana kukuona tena bibie.Amerudi tena kukusihi uokoke, ili uwe na uhakika wa kunyakuliwa siku Yesu atakapokuja kuwanyakua watakatifu
(1 The 4:16-18)
GoodKwa ufupi, ili uwe mbali na uchungu fanya hivi:
Kwanza, mkabidhi Mungu (kwa njia ya maombi) kila jambo linalokuletea uchungu (Zab 55:22). Yesu anasema kama unalemewa na mizigo uje kwake; ataitua mizigo yako na kukupa raha nafsini mwako (Mt 11:28-30; Yn 14:27).
Pili, usiruhusu hasira ikae moyoni. Mtu akikukosea, msamehe. Usitafute kulipiza kisasi (Rum 12:19). Kisasi atalipa Mungu.
Tatu, jifunze kushukuru kwa kila jambo (1 Thes 5:18) na kufurahi katika Bwana hata wakati ambapo mambo hayaendi kama unavyotaka (Flp 4:4)
Na mwisho, kumbuka kwamba dhiki za dunia hii ni za kitambo tu; Yesu Kristo karibu atakuja kutuchukua na kutupeleka mbinguni kwenye raha ya milele. Mbinguni hakutakuwa na kulia wala kuomboleza. Yesu atatufuta machozi kabisa (Ufu 21:4). Uchungu na mauti havitakuwepo tena.
Endelea kuumia sababu ya Ke maana ndiyo uvulana huo kuelekea uanaume.Mama mchungaji habari.
Mimi nina uchungu moyoni mwangu.
Nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana, ila tatizo lake amekuwa mtu wa kurudia makosa yale kila mara.
Natumia nguvu kubwa kumuelekeza ila ni mtu wa dharau, mfano kwa sasa yuko mbali na mimi naweza kupiga simu mara kumi asipokee na muda akinitafuta anatuma message tano kwa wakati mmoja yani dakika moja kuonyesha kwamba amekutafuta kitu ambacho ni unafki.
Tukigombana anakimbilia kuwatafuta x wake ambao wameachana miaka 3 iliyopita.
Hajui kupika vizuri nilimwambia tafuta mgahawa ujifunze kupika ila alienda mara moja tu
Hana uwezo mkubwa wa kushauri au kutoa mawazo yoyote nikamnunulia kitabu kimoja cha nguvu ya Mwanamke ila hajakimaliza wala hajawahi kuomba kitabu kingine asome
Makosa mengi huwa yanatokea tukiwa mbalimbali hasa kwenye mawasiliano anadai kwao majukumu ni mengi.
Mfano jana nimempigia simu zaidi ya mara 15 akajibu anaumwa nikamwambia siku nzima ulikuwa unafanya nini akasema alikuwa amelala
Nikamuuliza kama ulikuwa umelala unashindwa kupokea wala kutuma message??
Mama mtumishi em naomba ushauri mana mpaka namba yake nimeikalili
Nina miaka 26
Naomba nishauri kama mtoto wako na haya utakayonishauri nitafanyia kazi
Ahsante
"Usijifanyie sanamu ya kuchonga wala kuiabudu" Zingatia amri hii hakika hutateseka tena mkuu.Mama mchungaji habari.

Absolutely. And what really matters is learning to live according to the Word of God. When we follow His commands, choosing forgiveness, love, peace, and letting go of bitterness, we protect our hearts from carrying unnecessary pain.Focus on what really matters.
Exactly 💯 ndo maana tubashauriwa kusameheUchungu umuhumiza anae uhifadhi
I think utungu ndio Kiswahili sahihi kwa mwanamke anayesikia maumivu(labour pain) kabla ya kujifunguaUchungu au Utungu?
Kwanza elewa kiumbe hai chochote lazima kife na sababu za vifo vipo vingi sana, kwa hiyo kwa sababu yako hiyo naona unaiamini sana kuwa ndio inaua mapema, mwili wa binadamu uko adaptive sana kukabiliana na mazingira yanayokuja ukiona una uchungu ujue kuna automatic adjustment zitafanyika ku counter balance changamoto hiyo nawewe by consious huwezi kuitawala hali hiyo na ukijaribu ndio utajiumiza. Ndio maana ikibidi kulia lia na ikibidi kulipa kisasi lipa maana ndio maamuzi yaliyokuja ili upate hali ya kawaida na sio kulazimisha eti ufute maumivu kwa kutumia reference za waefesoKama hukubaliani na kitabu cha Waefeso, je hata ushauri wa kisayansi hukubaliani nao?Nilianza mada yangu kwa kutaja hasara za kisayansi za kubeba uchungu. Na hizo ndizo zitakazokuua mapema kama utaendelea kuhifadhi uchungu moyoni mwako.
Naona kitabu cha Waefeso kinakukereketa. Na maneno ya Yesu je, unayakubali? Labda tuanzie hapo kwanzaKwanza elewa kiumbe hai chochote lazima kife na sababu za vifo vipo vingi sana, kwa hiyo kwa sababu yako hiyo naona unaiamini sana kuwa ndio inaua mapema, mwili wa binadamu uko adaptive sana kukabiliana na mazingira yanayokuja ukiona una uchungu ujue kuna automatic adjustment zitafanyika ku counter balance changamoto hiyo nawewe by consious huwezi kuitawala hali hiyo na ukijaribu ndio utajiumiza. Ndio maana ikibidi kulia lia na ikibidi kulipa kisasi lipa maana ndio maamuzi yaliyokuja ili upate hali ya kawaida na sio kulazimisha eti ufute maumivu kwa kutumia reference za waefeso
Nakubali nini?Naona kitabu cha Waefeso kinakukereketa. Na maneno ya Yesu je, unayakubali? Labda tuanze hapo kwanza
Sina ubaya nae sema shida ni kutumia reference za wakorintho, walawi na waefeso, wakati mimi msukuma sijaona reference yangu.Aliyosema tufanye