Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

Vitabu hivo nani kaandika na huo uwezo kautoa wapi kuandika vitu ambavyo hakuvishudia?
Duh, uko vizuri, unajua kutafiti mambo kwa kina.
Ni kweli waandishi wa historia hiyo hawakuwepo karne ya 16, lakini waliyoyaandika, hawakuyatunga vichwani mwao. Wao walifanya kazi ya kukusanya Masimulizi ya Kale (Oral History) kutoka kwa wazee wa mila na koo za Kisukuma ambao walirithishwa historia hiyo neno kwa neno kutoka kwa mababu zao. Historia hiyo ilipolinganishwa na mabaki ya kiakiolojia (vyungu na zana za kale za chuma zilizofukuliwa maeneo ya Mwanza na Shinyanga), sayansi ikathibitisha vitu hivyo ni vya karne ya 16 na 17. Hii ni sawa tu na jinsi Musa alivyoandika habari za Adamu na Hawa au Nuhu kwenye kitabu cha Mwanzo. Musa hakushuhudia uumbaji kwa macho yake, lakini alitumia masimulizi ya kale yaliyotunzwa na vizazi vilivyotangulia pamoja na uongozi wa kiungu. Hivyo, kurekodi historia uliyorithishwa na wazee ni njia halali kabisa inayokubalika kidini na kisayansi.
 
Mbona mababu zangu mimi wa kisukuma hawamtambui musa na hawajawhi kunambia hivo? Unataka niwapuuze mababu zangu nimsikilize nani?
 
Mbona mababu zangu mimi wa kisukuma hawamtambui musa na hawajawhi kunambia hivo? Unataka niwapuuze mababu zangu nimsikilize nani?
Babu mmoja au wawili hawawezi kujua yote. Waulize mababu wengine, hasa wale walioshiriki kuandika Biblia ya Kisukuma (Bibilia Ilagano Lya Kale).
 
Nulibadli kipindi ulipokuwa kule Israel, sasa nimeirudisha tena. Umepishana nayo tu.
Acha longolongo, hujui waongo watatupwa motoni milele?
Ufunuo 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Well said.
 
If it's well said, what’s your action plan now? Are you ready to repent of your sin?
Matendo 3:19
Basi, tubuni, mkamrudie Mungu ili yeye afute dhambi zenu.
Natubu kila nikikosea.
 
Kweli mtumishi. Tuongoze sala ya toba.
Am contemplating mafuriko yaliyowaua maelfu ya watu Nepal, I dont think wote walikuwa wametubu kabla
Sawa
 
Uchungu wa kusema ukweli na kutekwa.
 
Tafut
Ila Mungu atusaidie aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…