Jihadhari, utakufa mapema bure kwa sababu ya uchungu ulio nao!

Hata mtoto anapokua hujifunza kutambaa, kusimama na kutembea, kadri anavyojifunza huanguka mara kadhaa na ndivyo huimarika.
So ngoja aumie zaidi ili akili imkae sawa kiuanaume.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Mpende jirani yako kama nafsi yako (Mk 12:31).
 
Piga chini. Wakati mwingine kuna mizigo mizito tunabeba na tunaogopa kuitua chini. Dogo piga chini huo mzigo. Afu msahau kabisa. Utampata wa kufanana na wewe. Utakuja kunishukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…