Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

Kwa huu mtido wa kuanika taarifa za mteja ni udhaifu wa halmashauri ya jiji la Arusha ktk ukusanyaji wa mapato na wameonesha kukosa umakini kwa kiwangi kikubwa na kibaya kabisa TAMISEMI wana makubaliano ya kubadilishana taarifa na taarifa za mlipa kodi ni siri lakini hawa jiji wamemuanika mfanyabiashara taarifa zake za kikodi kitu ambacho ni kosa. Wao wanatakiwa kumalizana kisheria mahakamani na siyo kuleta kwenye social media. Hakika ningekuwa Samia ningemfuta kazi Mkurugenzi. Na uliyeleta uzi hapa kama unampenda Mkurugenzi wako futa hii thread
 
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la 𝐤𝐮𝐬𝐞𝐦𝐚
 
mbona hayo majina umeyaandika yana fanana
 
Hii nchi hii, nyie wa halmashauri no wazandiki, na wafu wa hovyo, hata kuwasikiliza ni kero.
 
Huyo mfanyabiashara aliyaanzisha mwenyewe nje ya mahakama? Kaburu kavuka mstari... kuongea sana kutamponza.
 
🤣 🤣 🤣
 
Halafu demand note ya million 3 inapelekwa na watu 7 kwenye gari mbanano hadi oxygen inapungua na mlipaji anaomba alipe online… na hakuna kinachoonekana … hata serikali yenye mfumo inapigwa na butwaa kama zimeingia au bado… Kama yanga vile kule South Africa…da haya ni maajabu ya Tanzania…kazi tunayo…
 
Kuna ujanja unafanyika... huwezi kuwa na kampuni mbili moja unaita The Tanganyika... na nyingine Tanganyika ... na ziwe za mtu mmoja. Kuna ujanja mefanyika kwenye kuweka taarifa. Sujui ndio upigaji unaanzia hapo?
 
Kama wanadai Kodi mil.200 how comes watoe demand note ya mil.3?

Warudishe mil.21 walizopiga hakuna mjinga hapa
 
Kuna ujanja unafanyika... huwezi kuwa na kampuni mbili moja unaita The Tanganyika... na nyingine Tanganyika ... na ziwe za mtu mmoja. Kuna ujanja mefanyika kwenye kuweka taarifa. Sujui ndio upigaji unaanzia hapo?
Una uhakika? Watu mnaouza magenge mna shida sana na Huwa mnaongea Kwa kujiamini mbumbumbu wenzenu wanaweza Dhani mnajua kumbe takataka.
 
Kuna ujanja unafanyika... huwezi kuwa na kampuni mbili moja unaita The Tanganyika... na nyingine Tanganyika ... na ziwe za mtu mmoja. Kuna ujanja mefanyika kwenye kuweka taarifa. Sujui ndio upigaji unaanzia hapo?
Hamna shida ni kampuni mbili tofauti tatizo liko wapi lama kila moja ina Tin number yake

Huyo mtu wa Halmashauri yeye ndie hajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…