Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

We unaijua Arusha ama unaiskia?? Wafanyabiashara hapa walikuwa hawataki kulipa service levy, Wana malimbikizo makubwa ya NYUMA na Sasa huyu mkurugenzi amekuja kuisimamia SHERIA na kukusanya fedha za serikali, wafanyabiashara hawataki... Wanamuundia zengwe hivyo.. sababu tu ya kuisimamia mapato ya serikali.

Tume iliyoundwa na Makonda sio ya sakata hili, ni tume ya kufatilia kero na changamoto zinazokabili sekta ya utalii.

Chambulo ni mtata, kwenye maswala kama haya, Wacha uchunguzi wa kina ufanyike.. mbivu na mbichi zitabainika.

Asitishie watumishi wa kaisari Ili waogope kufata chao
 
Chamburo Ile bange yake inampeleka pabaya... Kwenye hili HAYUPO sahihi
Tajiri inabidi kuwa makini sana na Media. Ukikosea kidogo tu wanakula kichwa. Siku za karibuni amekuwa akisifiwa sana mitandaoni kwa hoja zake kumbe wazee wanamcheki tu.
 
Hongera wewe unafahamu na Haya mambo
Wengine wanachangia kihisia tu
 
Kwenye ukweli uongo hujiweka pembeni.

Kama alipaswa kulipa milioni 200 ya nini mumwambie alipe 3.
Umesema hazijalipwa cash, nyaraka inaonesha ni cash.

Ila mwamb mdomo umemponza, nahisi watamsumbua saana. Ajiandae.
 
Aliyemwelewa atueleze, anadaiwa mil.200 ila ametumiwa demand note ya 3m na bado ni mwongo, jiji ni wasafi. what if ana ushahidi wa kutoa 24 kauweka pembeni, huyu mkurugenzi amejiridhisha hili?
Yaelekea wote ni mafisadi. Kodi ni million 200. Makubaliano alipe million 24 Ila atapewa demand note na risiti halali ya milioni tatu. Mchezo upo hivyo.
 
Aliyemwelewa atueleze, anadaiwa mil.200 ila ametumiwa demand note ya 3m na bado ni mwongo, jiji ni wasafi. what if ana ushahidi wa kutoa 24 kauweka pembeni, huyu mkurugenzi amejiridhisha hili?

Alichoeleza DED ni kwamba walituma tu demand ya 3m ila baada ya kufunguka kwa makonda ndiyo wakaingia kuona jamaa anaingiza kiasi gani ndiyo wakagundua ana ingiza zaidi ya 90B kwahiyo kwa hapo inatakiwa alipe 200m+ .

TRA/DED ukiwazingua wanakubambikia Kodi kubwa tu ,kwahapo huyo mfanyabiashara akishupaza shingo atafunga hiyo kampuni yake ,inakuwaje usajili kampuni mbili zenye jina moja? Hapo tofauti ni "The" tu lakini kuhalisia ni kampuni moja sema jamaa wameamua waruke nae.

Kwakifupi jamaa wamechezea control number tu mzigo umelipwa 24m ila DED wamepiga 21m.
 
Hawawezi kukubali ila jamaa sio fala kuwasingizia
 
Kwa
Kwa hiyo 0.3 ya bilioni 90 ni milioni 24?
 
Wameamua kumuanika. Kwani miaka yote hiyo hawakujua kwamba tin moja inatumiwa na kampuni 2 tofauti? Baada ya kuwatuhumu kuomba rushwa ndio mnakuja na utetezi wa hivi?
Hivi, mtu mmoja anakuwa na TIN moja kwa bishara zake zote, au kila biashara ya mtu mmoja inatakiwa kuwa na TIN namba yake?
 
Tena kwa jinsi huyu Bwana Chambulo alivyokuwa Mjuzi wa Masuala mazima ya Utalii, Mweledi, Haogopi kuwa Mkweli na siyo Mnafiki kama GENTAMYCINE nimemfuatilia Maelezo yake yote na kugundua kuwa Yeye ndiyo Mkweli na yuko sahihi ila hizi Mamlaka na hawa Wanaompinga wametumwa Kimkakati Kumchafua na tulivyo na bahati mbaya pia ya Watawala wetu nao ni wapenda Uwongo na Umbea hivyo wataamini kuwa huyu Jamaa ni tatizo na kuanza kumuwekea Mabifu na Kumkomoa.

Ila Mimi kwa mfano ndiyo ningekuwa Rais wa Ubobezi wa huyu Mtu Chambulo upesi sana ningempa Ubunge wa Kuteuliwa kisha ningempa Uwaziri wa Utalii au Waziri wa Uwekezaji kwani ana Exposure Kubwa mno na hana Njaa wala Ushamba kama walionao hawa Wengi leo ambao Wamehongwa Kumkataa wakati huenda hata Vikaoni walikaa nae pamoja na leo Wanamsaliti. Bwana Chambulo wala Usihofu najua Wametumwa Kukukana na Kukusaliti ili Kukuhariba ila Wengi tumekuelewa katika Hoja zako na Mwenyezi Mungu atakupambania tu.
 
Hahahaha unamjua wilee wewe, hafai hata kua katibu kata... Huko alipo ndo anafaa

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Wameamua kumuanika. Kwani miaka yote hiyo hawakujua kwamba tin moja inatumiwa na kampuni 2 tofauti? Baada ya kuwatuhumu kuomba rushwa ndio mnakuja na utetezi wa hivi?
Kwa mfumo wa sasa biashara mbili tofauti zinakuwa na TIN namba moja endapo mmiliki wa hizo biashara ni mmoja labda aamue kumkabidhi mke au watoto umiliki wa kampuni mojawapo
 
Bila shaka atakuwa anafuata taratibu zote za kuandaa hesabu. Ikiwa hivyo hiyo 90B si tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…