MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Punguza stress mdogo wetuKwahyo huko kabwe na mwanjelwa ndo kuna miundombinu mizur?
Madereva wazuri?
Na hakuna makelele? Maana huko kila baada ya nyumba 3 kanisa la mabat na makelele kila muda
Uko nje ya nchi ndo malawi hapo?
Ungekua na hela ungeishi masak
Toka kwa shemeji, katafute kibarua
Katafute Kaz ujachelewa, ukasaidie hata fundi ndo kwanza saa 3 hii acha ujinga wa kugombania rimot na kina juniorPunguza stress mdogo wetu
we itakuwa bado mgeni wa jiji au vinginevyo ushazoea kero za jiji.!! Dar ni sehemu ya Tz sio Tz na wala hakufai kwa makazi ya binadamu acheni ulimbukeniDsm ndio Tanzania 🇹🇿 ...
Pamoja na kero zote kuanzia foleni, joto, uchafu , population n.k lakini ndio sehemu pekee Tanzania hii penye rizk hasa kwa wafanya biashara!!!! Ishi/jenga pembezoni mwa mji, mishe zako pigia town......
Chukua kauusafiri kako .... hutojuta
we itakuwa bado mgeni wa jiji au vinginevyo ushazoea kero za jiji.!! Dar ni sehemu ya Tz sio Tz na wala hakufai kwa makazi ya binadamu acheni ulimbukeni
Sawa shemejiAmka hapo kwa shemeji, wewe ni Mpumbavu...
Hongera, wengine kelele hatupatani nazo kabisa.Ukiachana na joto na foleni hakuna kingine kinachonisumbua. Yaani kelele hazinipi shida hadi natamani hata nihamie mburahati kwenye vigoma kila dakika.
Maisha ni kuchagua
Huku usije kwa lengo la kuishi mkuu utajuta labda kuspend tuWazenge mlio Dar mnapakandia ila hamuondoki. Kubababake nisubirini na mimi nakuja huko huko.
Mimi tangu nihamishie makazi yangu mkoani morogoro wilaya ya malinyi kijiji cha kilosa kwa mpepo sijawahi kutamani kurudi dsm. japo hapo kariakoo nimewekeza mamilioni ya pesa. Hakika dsm hapafai ndio maana serikali imepakimbia ikahamia kijijini DodomaUgonile,
Ni muda kidogo sikuwa Tanzania kwa zaidi ya miaka miwili ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda nikaamua kutimkia mkoani.
Kabla ya kutimkia nchi za wenzetu riziki yangu nilikua naitaftia kariakoo kwa zaidi ya miaka mitano, niseme tu ukweli nilkua najikaza sana kuishi kwenye ilo jiji.
Kero yenyewe ni makelele na hali ya hewa, aisee Dar kuna purukushani za kufa mtu, uswahili mwingi, miundombinu mibovu, ukienda maeneo ya soko kama Kariakoo, mbagala, tandika kuna makelele mpaka unatamani uzibe masikio, Bodaboda wanaendesha hovyo kama wapo kwenye mashindano ya vichaa muda wowote usipokua makini wanakukwatua, maofisini hakuendeki sababu ya queues zisizoisha, hospitali ndo usiseme, foleni barabarani mpaka unajuta kuwa road.
kwa sasa Dar naichukulia kama sehemu ya kuja kulia Bata tu, nmekua nikijikaza kuja mara mojamoja ila huwa nikifikia Hotelini sitoki au nikiboeka navuka zangu maji kwenda kwa Bi Ushungi ila sio kukaa Dar, imagine tangu niondoke Kariakoo nakaribia mwaka wa tatu sasa sijawahi kurudi. Kila nikifikiria yale makelele naishiwa pawa
Nyie mnaoishi Dar miaka yote iyo mnawezaje au ndo mnajikaza? mmewahi kufikiria kuishi mikoani muone maisha yalivokua matamu? 😁
Chukulia mfano watu wa ukanda wa Gaza, Mbagala, Chanika, Kigamboni aisee Mungu awasaidie.
Saiv napanga kujenga kwa Mama Abduli, wale mnaoshadadia Muungano uvunjike acheni izo 🫵
Nipo poa kabisa mkuu.Hongera, wengine kelele hatupatani nazo kabisa.
vipi upo poa lakini
kwa sisi wazoefu tunajua dsm ni shamba la mpunga na ni sehemu ya bahariwe itakuwa bado mgeni wa jiji au vinginevyo ushazoea kero za jiji.!! Dar ni sehemu ya Tz sio Tz na wala hakufai kwa makazi ya binadamu acheni ulimbukeni