GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Rekebisha hiki kiingereza...hakuna kitu kama hiki... not..(I was been there). Ni (I have been there)...alaaI was been there for years Ila hilo jiji ni habari nyingine kabisa.
Uzoefu wa siku chache hauwezi kunifanya nitoe "hukumu" ya haki. Kuna Watanzania wengi wameshakaa huku miaka mingi kabla mimi sijatia mguu. Hao ndiyo wanapaswa "kuhukumu"Mkuu wewe ndiye uliyefika huko, iweje sasa utuulize siye wa hapa hapa?
Uzoefu wa siku chache hauwezi kunifanya nitoe "hukumu" ya haki. Kuna Watanzania wengi wameshakaa huku miaka mingi kabla Mimi sijatia mguu. Hao ndiyo wanaopaswa "kuhukumu"
Angalau umerekebishaI've been there for years Ila hilo jiji ni habari nyingine kabisa.
Sorry kurekebisha nini mkuu?Angalau umerekebisha
Hiyo ( I was heen there....yako)🤣🤣🤣🤣Sorry kurekebisha nini mkuu?
Sijakupata mkuu nafikiri umechangaya mambo au Mimi ndo nimechanganya .Hiyo ( Ibwas heen there....yako)🤣🤣🤣🤣
I was been there😀Sorry kurekebisha nini mkuu?
Sawa ✊🏿I was been there😀
Kilikuja na meli.I was been there😀
Si kweli...Doddma
Ila kuna maeneo mengine pia ni machafu, kama Nakasero. Makaratasi yapo ovyo hivyo. Ila mitaa mingine ni mizuri sana na ya kuvutia.Si kweli...
Kwa Tanzania ni Dar es salaam pekee inaiacha Kampala...
Kuna ule mtaa mmoja zimepangana clubs kubwakubwa ukiwepo unajihisi upo Posta ya Dsm
na mimi ndio nashangaàaMkuu wewe ndiye uliyefika huko, iweje sasa utuulize siye wa hapa hapa?