Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

Na wanavyo isifia Kampala Nashauri hadi Jina lako ujiite MKAMPLA.
Kanuni ya Kisaikolojia inaelekeza kwamba ili kuepuka kumwonea mwenzako wivu mbaya, tafuta mazuri yake uyasifie. Ukishindwa kumsifia kwa mazuri utaishia kukosoa "ubaya" wake ambao wakati mwingine ni mtazamo wako tu.
 
I've been there for years Ila hilo jiji ni habari nyingine kabisa.
Ulikuwa pale kwa miaka alafu unachapia hivi mkuu? Naomba iwe imejitype yenyewe na si ulichokimaanisha akilini mwako.
 
Back
Top Bottom