Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Na ndo walianza, lakini walioiga sasa wakaiga kishamba sana. Angalia hapa dar, spika za boda boda zinatumika kuchafua mazingira.....ovyo kabisaBoda boda ni kampala ni kero ya Africa mashariki
Kichwa chako🤣Sawa trump
Busega na Mulago. Mpererwe na Ntinda ni nini?labda mwanza? .Ulikaa maeneo gani mkuu owino marketi ulifika?vipi kuhusu Mpererwe na Ntinda?
Mwanza hii hii au mwanza ipi?labda mwanza? .Ulikaa maeneo gani mkuu owino marketi ulifika?vipi kuhusu Mpererwe na Ntinda?
Hayo ni maeneo yako Kampala hukoBusega na Mulago. Mpererwe na Ntinda ni nini?
Huyo Dr wa mitishamba hajui ngeliRekebisha hiki kiingereza...hakuna kitu kama hiki... not..(I was been there). Ni (I have been there)...alaa
🙏🙏🙏Hayo ni maeneo yako Kampala huko
Mwanza nako siyo pa kudharauliwa, ila Kampala panaweza pakawa "pakubwa" zaidi ya Mwanza.Mwanza hii hii au mwanza ipi?
Unamwonea! Dr. Hata Land ni zaidi ya Dr. Ingestahili baada ya cheo cha Dr, lingefuatiwa na neo "BOOKWORM". Jamaa yupo "deep" katika mambo mengi.Huyo Dr wa mitishamba hajui ngeli
umejuaje kuwa hicho ni Kiingereza?Rekebisha hiki kiingereza...hakuna kitu kama hiki... not..(I was been there). Ni (I have been there)...alaa
I was been there ni Kiingereza?I was there , I have been there
Lingekuwaje bila bodaboda? Siyo kwamba hali ingekuwa mbaya sana kwa sababu ya msongamano wa magari?Jiji chafu hilo boda boda wamejaaa
Kanuni ya Kisaikolojia inaelekeza kwamba ili kuepuka kumwonea mwenzako wivu mbaya, tafuta mazuri yake uyasifie. Ukishindwa kumsifia kwa mazuri utaishia kukosoa "ubaya" wake ambao wakati mwingine ni mtazamo wako tu.Na wanavyo isifia Kampala Nashauri hadi Jina lako ujiite MKAMPLA.
Kumbe ya Kuitwa nini? Kampala nzima hakuna kitu kama hiki 👇👇Kwamba Umeitaja Mbeya kabisaa
Hivi Mbeya yakuitwa Jiji!!
Hujatembea wewe, Nimesoma Kampala 2004 to 2007 na huwa naenda mara kwa mara hata sasa...Kampala ni jiji la kawaida mno, kwa Tz laweza kufananishwa na Mwanza au ArushaI've been there for years Ila hilo jiji ni habari nyingine kabisa.
Ulikuwa pale kwa miaka alafu unachapia hivi mkuu? Naomba iwe imejitype yenyewe na si ulichokimaanisha akilini mwako.I've been there for years Ila hilo jiji ni habari nyingine kabisa.