Uchaguzi 2020 Jiji la Mbeya, Hata kama mnampenda Mbilinyi (Sugu) msimchague. Ili mpate maendeleo chagueni CCM


Aliyekupeleka Shule na Kuelimika amepoteza sana muda wake na Rasilimali zake na umeshatusaidia kujua uwezo wako mdogo wa Kiakili ulionao.
 
Practically maendeleo yana vyama. Politically hayana. CHAGUA CCM UPATE MAENDELEO.


Nyie c ndio mnaongea kila siku kua maendeleo hayana chama kumbe niuongo, acheni ubaguzi Nchi yetu sote, suala LA kupeleka maendeleo sehem sio hisani ya mtu ni lazima kwa serekali inayojitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are the worst of idiots. Ukitaka demokrasia acha watu watoe maoni yao hata kama huyapend.MWAKA 2020 TULIA/MWANACCM Mwingine anachaguliwa Mbeya . Na MBEYA MKIPUUZA HILI JOTO LAKE MTALIONA. MIMI NAJIANDAA KUMPIGIA KAMPENI MBADALA WA SUGU.

Ungesema umeanza kampeni mapema sio kujifanya unatoa Ushauri huku dhamira yako moyoni ni tofauti.

Tulipuuza toka 2015 na hakuna joto ya jiwe tuliyoona na huu mwaka hatufanyi makosa tena.

Kampeni njema
 
Inshort tu, banyambala kuamrishwa huwa hawapendi, vity vya masharti hawavitaki. 2020 Sugu tena
 
Mkuu kwa kwani arusha je?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Fal....a
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoka jana Mbeya wewe sio mtu wa Mbeya.Mbeya ina wwnyewe na ndio sisi.Mbeya jinsi ilivyo sisi tumeipenda.Kama kodi tunazotoa wanaona ndio za kutupigia Fresh acha tupegwe ila hatuchagui ccm.Dar ina uongozi wa ccm lakin hakuna jijinla hovyo kama Dar,Tanga ina ccm haina chochote cha maana.Arusha je ina wanaccm wengi lakin hakuna cha maana.Dodoma ndo takataka kabisa.Wanambeya tutabaki na Sugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kampeni mimi sijui. Ila wana Mbeya nimeongea nao wameshajifunza. Hawatofanya makosa yale yale. Na miaka hii hamna viroba wengi watakuwa na akili timamu wakati wa kampeni.

Ungesema umeanza kampeni mapema sio kujifanya unatoa Ushauri huku dhamira yako moyoni ni tofauti.

Tulipuuza toka 2015 na hakuna joto ya jiwe tuliyoona na huu mwaka hatufanyi makosa tena.

Kampeni njema i
 
Simara magu haondoki 2025 hata kidogo, magu anaondoka 2020 yaani this year.
Kama atapona ndani ya chama chake(ambako tayari kuna mgogoro mkubwa) basi atatoka kwa uchaguzi mkuu. Uchaguzi mkuu huu hautafanyika bila Tume huru kwa shinikizo LA vyama litakalo zaa shinikizo toka nje, amini nikuambialo.
Watu hawana haja ya kuwa na woga kuandaa wabunge wao wazuri na wawapendao nje ya CCM na kule ambako wapo wagombea wa CCM wachapa kazi wawachague tuu hata kama Rais hatatoka CCM.
Yaweza onekana ndoto, lakini Tume huru ikiwepo CCM hana ubavu kabisa kabisa wakushindana kutafuta kura majukwaani hivyo anaaga.
 
Hamleti maendeleo kwasababu ya vyama halafu mnasema maendeleo hayana vyama ''mbona tunawajua kwamnba manongoza kwa unafiki'
 
Ujinga wangu ni mara 10 bora kuliko upumbavu wako. Mbeya inahitaji sana mchango wa serikali na wana mbeya nawashauri wasidanganyike na wapumbavu wachache kama wewe. Nawashauri wana MBEYA ACHENI UJINGA wa Aina hii. Fanyeni mambo ya maana.
Huna hoja , Mnafiki Mkubwa wee ! njooni Mbeya na Majeshi yote kudadeki ! kwenye sanduku mgombea wenu hawezi kuambulia hata robo ya kura za Sugu , hatuwezi kuwa na watu wenye akili za kiboya kama zako za kuhalalisha uvunjifu wa katiba , Maendeleo ya nchi yamepangwa kwenye katiba , si matakwa ya mtu yeyote hata angejivika Uungu , tutapambana hadi mnyooke , na tumejiandaa hasa
 
Nmeshindwa hata kumalizia post yako, nmeshangaa jinsi unavyomsingizia Raisi mambo ya ajabu namna hii....Hivi Raisi wetu ni Raisi wa CCM au wa Tanzania? Nimekuwa nikimsikia kwenye hotuba zake mara kwa mara akisema yeye ni Raisi wa watu wote...CCM,CUf,CHADEMA,TLP......na wasiokuwa na vyama...!!! Sasa kwa kauli yako inaonyosha Raisi anatubagua kwa vyama vyetu,kitu ambacho sitaki kuamini! Unaposema Mbeya ilisuswa na haikupelekewa maendeleo, sasa hapo unamshitaki Sugu au Mh Raisi?
Sehemu yoyote ya nchi hii inapokuwa nyuma kimaendeleo,wa kulaumiwa wa kwanza ni Mh Raisi mana yeye ndo mwenye dhamana ya kuliletea nchi hii maendeleo.
 
Tena mpumbavu wa kiwango cha PhD
 
Wewe ni mpumbavu ,unavuta bange na hauna akili..


Kuichagua Chadema ndiyo misimano ya hovyo,????

Kama ndivyo kwanini msifute kibaki chama kimoja.????.

Laana kwa mamako kwa kuzaa mpumbavu kama wewe...
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
kafie mbele. mbeya haturambi miguu ya kijani.
 
Mbeya IPI ?labda ya somalia.maendeleo yapo tena makubwa.kama huyaoni vaa darubini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…