Uchaguzi 2020 Jiji la Mbeya, Hata kama mnampenda Mbilinyi (Sugu) msimchague. Ili mpate maendeleo chagueni CCM

Wasipokuelewa shauri yao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda asilimia hiyo ni kwenye ukoo wenu wa panya

Sent using Jamii Forums mobile app
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA
Moja ya msingi wa Demokrasia ni uhuru wa kutoa maoni. Sasa nashangaa mimi nimetoa maoni wewe unitukania ukoo wangu mzima. Wengi hatuipendi CCM ila kwa akili kama zako ukiwa kama mpinzani basi tunakosa mbadala wa CCM. Lazima itawale tu
 
Nachoongea ni uhalisia na wala sio ushabiki kama wenu.
JE UNAJUA CCM inaungwa mkono na kundi lipi la watu.?
 
Hivi unaelewa maana ya demokrasia?
 
You are the worst of idiots. Ukitaka demokrasia acha watu watoe maoni yao hata kama huyapend.MWAKA 2020 TULIA/MWANACCM Mwingine anachaguliwa Mbeya . Na MBEYA MKIPUUZA HILI JOTO LAKE MTALIONA. MIMI NAJIANDAA KUMPIGIA KAMPENI MBADALA WA SUGU.
Unaelewa maana ya demokrasia?
 
Lindi ruvuma Dodoma(ya CCM) halafu angalia Kilimanjaro Arusha (CDM) unipe Majibu ya uhakika katika hii mikoa ipi ni maskini wa kutupwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wenyewe hawakuchagua CCM wakamchagua kichaa mwenzao Meko. Mwenye kuleta maendeleo hajawahi kutoka CCM.
 
Cdm haiwezi kuwa na wanachama mazuzu kama wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo magufuli anavyo sema maendeleo hayana chama ni uongo? Acheni unafiki magamba. Hii nchi sio ya baba zenu waka mama zenu. Hii nchi niya. Wa Tanzania wote.
 
Mtu Asiyejulikana
Pesa ni ya walipa kodi sio ya kikundi fulani au ya Magufuli
Tuondolee ukoloni mamboleo
Bora kufa maskini na mateso ya dhiki kuliko kuongozwa na misisiem
Hizi pesa mtazilipa tu siku moja
Tusitafutane ubaya
 
Umemtukana Rais matusi makubwa,kwamba Rais amewasusa wanambeya kisa wamechagua upinzani?Yaani kama kuna Rais wa hivyo duniani basi ni mwendawazimu!
 
Hahaha maendeleo gani watapata kama sio kuwadanganya?!

Majimbo ya ccm wamepata maendeleo gani ambayo Mbeya mjini wameyakosa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…