Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Ilibidi nikaangalie insta, it's true dada mishy kaupiga mwingi🙌
Ninarafika yangu anadate na mzungu na amemwambia hataki na hatoweza kuzaa nae kama anataka mtoto atafute wa kuzaa nae, maybe it's sane case to her🧐
dahh kumbeee
 
James siyo mmiliki wa escape one
Sema kabla ya pale kwao kumbuka kuna aliwekeza ile bar ya safari carnival,kusaga naye akaja akawekeza escape na nani sjui 255

James na mke wake ndy walikuwa wanamiliki duka la nguo hapo kwao nje na ukipita unaliona

Ova
Mkuu ndo maana nkaandika sina uhakika kuhuau hiyo bar
 
Back
Top Bottom