Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Unajua kwanini?? Ndugu uwa wanaona pindi wazazi waliomadopt wakiitwa mbele za haki mali itabaki kwa mtoto asie mtoto, wakati ma mtoni mtoto wa kuadopt anatambulika kabisa ni mtoto wako. sasa hizo sababu huyo mtoto kutambulishwa tena ki mila ni mlolongo mrefu .Bongo Somo la kuadopt bado sana