Jiji la moto hilii

Jiji la moto hilii

Unajua kwanini?? Ndugu uwa wanaona pindi wazazi waliomadopt wakiitwa mbele za haki mali itabaki kwa mtoto asie mtoto, wakati ma mtoni mtoto wa kuadopt anatambulika kabisa ni mtoto wako. sasa hizo sababu huyo mtoto kutambulishwa tena ki mila ni mlolongo mrefu .
Inasemekana mtoto ni wa james kazaa na mdogo wa mishy.ila mishy ndo mzazi tena wa kuasili na james.ila mishy ni mafia anatuchanganya ***** loohh
 
Wameona share ya james itaenda kwa watu.baki.
Ila na huyo james mtu mzima vile kwanini hakumtambulisha? Hata mimi angekuwa ndugu yangu mtoto sio biological nisingekubali
 
Ahsante ndio ya dunia, generation ya watoto wa mjini wa 90s na mwanzoni mwa 2000s inaisha pia. Ni wakati wa bongo flava huu..Nilikua sijui kumbe yule mtoto wa kuadopt?? but kwanini wafanye kuadopt?? hapo naanza kumuelewa yule mzee alipofuka msibani kua mtoto hawamtambui.Hatarii sana lakini salama.
Mambo ya urithi

Ova
 
Inasemekana mtoto ni wa james kazaa na mdogo wa mishy.ila mishy ndo mzazi tena wa kuasili na james.ila mishy ni mafia anatuchanganya ***** loohh
Sasa hapa mnatuchanganya, Ok sawa kazaa na mdogo wa Mishy, kwahio basi huyo mtoto sio wa kuadopt ni mtoto wake biologically sema mama yake sio huyo mwenzi wake. Kwahio mtoto aliemzaa kwa mwanamke ndugu wa mwenzi wake, hivi kunakutambulishwa kwa ukoo kweli?? hio si ingejulikana tu kirahisi bila utambulisho wowote kua ni mtoto wake?? Hapo kutakua na mushkeli kidogo labda kama hawakufanyana, ilikua ni IVF tu.
 
Siri wanaijua wao mishy na James
Ndo utata huo ambao labda unaifanya familia kusita kumkubali huyo dogo
 
Ila ule mtaa wafanye maombi maana naona watoto wa matajiri wote wanapagawa na pombe na starehe ukianzia kwa Marehemu mzee shanga patricia alishapagawa na bwax, James ndio hivyo alileft group mapema na safari zake za Italy naona ndiko alikoharibikiwa haya ukija azura kwa mzee rupia au bomani sijui kuna vijana pia wamepagawa na pombe ukija kwa kina george Gordon ndio kapagawa zaidi ya wote na unga juu anavuta, ukija kwa briigedia cartless pale kuanzia jimmy na kaka yake mkubwa wote wamepagawa na pombe . Pamesalimika kwa mkwe wa raisi mwinyi tu sababu hakuna kijana wa kiume.
 
Hatari na nusu
 
Wana hela tukawadangie mkuu au ndo choka mbaya??
 
Umesahau kwa lupembe,kuna mona lpmb mtoto yule pombe sanaaaa

Ova
 
Back
Top Bottom