Nani yupo interested na huyo?
Hivi napata wapi muda wa kukaa na kusikiliza MTU aliyeharibu hali ya Masiha na kuharibu mfumo mzima wa utawala?
Lissu namsikiliza hadi mwisho na sitaki hata amalize jinsi anavyotupa darasa murua.
SASA BASI.
NI YEYE TU 28 OCT.
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Crowned after 16 bulletsHebi iandike kwa kiingereza Kama inafaa kuwa jina la movie.
It's time now that people should understand that the King is comptely nude. In the old days it took a little boy to point this fact to old men,who sung from morning to midnight that the King was wearing beautiful clothes while in fact he was " uchi wa mnyama"Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).
Result? It doubled.
I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
Haya ndo matumain mwampa mwenyekiti mkuu ,tulisha waonya kumpakaa mzee mafuta kwa mgongo wa chupa,na hii mmeifanya kwa miaka mitano ,Sasa mzee anaangaika nyie mpo na subili muhujiza kwamba akishinda Basi muendelee kupiga pesa whyMihemko tuu hiyo, CCM itashinda kwa kishindo
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Huwezi shindana na dola, ushasikia neno dola itakuanguki.. usiombe
Safi Sana Naandika script na ntaipeleka Hollywood.Crowned after 16 bullets
True Mkuu,Magufuli kaiua CCM ndani ya miaka mitano tuCCM wenyewe kwa sasa wameanza kumshangilia Lissu maana hakuna namna. Hadi polisi wanaogopa kurusha tear gas!
Nadhani kizazi kijacho kinahaki ya kuona jinsi TAL alivyofanyiwa unyama na awamu ya tanoSafi Sana Naandika script na ntaipeleka Hollywood.
Huyu jamaa lazima aje atengenezewe movie ya mapito yake.
Nakuhakikishia CCM itashinda kwa kishindo.Haya ndo matumain mwampa mwenyekiti mkuu ,tulisha waonya kumpakaa mzee mafuta kwa mgongo wa chupa,na hii mmeifanya kwa miaka mitano ,Sasa mzee anaangaika nyie mpo na subili muhujiza kwamba akishinda Basi muendelee kupiga pesa why
Mkuu ,na ccm kwa ujumla asiwadanganye mtu hali ni mbaya,mh wangu jpm ,mpaka Sasa huna Cha kupoteza taifa lazima liendelee kukuhudumia hata ukiwa mstaafu ,acha ccm ife tu ,ukishinda sawa ila ukishindwa mzee wangu we ,achia madaraka ki roho Safi ,na heshima yako itaendelea kulindwa,achana nao hawa ,ambao wamekua wanafiki kwako kisa matumbo yao ,wamekuharibia Sana kiongozi
Sawa mkuu zipo siku chache zimebaki ila niseme lolote laweza tokea kushinda Sana au kushindwa Sana ,mda ni mwalimNakuhakikishia CCM itashinda kwa kishindo.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.Sawa mkuu zipo siku chache zimebaki ila niseme lolote laweza tokea kushinda Sana au kushindwa Sana ,mda ni mwalim
Ngoma nzito Sana hii mkuu ,Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Hakuondolewa na wananchiHata Ivory Coast ya Gbagbo nayo ilikuwa na dola lakini aliondolewa.
Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Kwenu sio kwa CCM, JPM atapata ushindi wa kishindo na kuanzia hapo mtagundua Watanzania wana macho yakuona mazuri ya JPM.Ngoma nzito Sana hii mkuu ,
Ataondolewa na Gen Mabeyo😂😂😂✌✌✌✌Hakuondolewa na wananchi
Unamuamini huyo mtu waporojo?View attachment 1581357
Hiiiiiiii