Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Nani yupo interested na huyo?

Hivi napata wapi muda wa kukaa na kusikiliza MTU aliyeharibu hali ya Masiha na kuharibu mfumo mzima wa utawala?

Lissu namsikiliza hadi mwisho na sitaki hata amalize jinsi anavyotupa darasa murua.

SASA BASI.

NI YEYE TU 28 OCT.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app

kwa maelezo haya mchache tayar nshajua wewe ni mwajiriwa, alafu your a life looser na hauna direction ya maisha! that easy
juzi anasema mazao kua mengi sio maendeleo, WTF is going on!!
 
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).

Result? It doubled.

I now understand why he says these large crowds are "fake". You can't spend 5 yrs repressing people's basic freedoms and still expect to win their hearts and minds or else you are so dumb
It's time now that people should understand that the King is comptely nude. In the old days it took a little boy to point this fact to old men,who sung from morning to midnight that the King was wearing beautiful clothes while in fact he was " uchi wa mnyama"
 
Mihemko tuu hiyo, CCM itashinda kwa kishindo

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
Haya ndo matumain mwampa mwenyekiti mkuu ,tulisha waonya kumpakaa mzee mafuta kwa mgongo wa chupa,na hii mmeifanya kwa miaka mitano ,Sasa mzee anaangaika nyie mpo na subili muhujiza kwamba akishinda Basi muendelee kupiga pesa why
Mkuu ,na ccm kwa ujumla asiwadanganye mtu hali ni mbaya,mh wangu jpm ,mpaka Sasa huna Cha kupoteza taifa lazima liendelee kukuhudumia hata ukiwa mstaafu ,acha ccm ife tu ,ukishinda sawa ila ukishindwa mzee wangu we ,achia madaraka ki roho Safi ,na heshima yako itaendelea kulindwa,achana nao hawa ,ambao wamekua wanafiki kwako kisa matumbo yao ,wamekuharibia Sana kiongozi
 
CCM wenyewe kwa sasa wameanza kumshangilia Lissu maana hakuna namna. Hadi polisi wanaogopa kurusha tear gas!
True Mkuu,Magufuli kaiua CCM ndani ya miaka mitano tu
 
CCM inakufa kwa kasi kubwa ila kwa taasisi kongwe kama hii ufa na watu, tumuombe Mungu ife salama, na tumuombe TL kama atapota atuhakikishie kwamba hatafukua makaburi
 
Safi Sana Naandika script na ntaipeleka Hollywood.
Huyu jamaa lazima aje atengenezewe movie ya mapito yake.
Nadhani kizazi kijacho kinahaki ya kuona jinsi TAL alivyofanyiwa unyama na awamu ya tano
 
Haya ndo matumain mwampa mwenyekiti mkuu ,tulisha waonya kumpakaa mzee mafuta kwa mgongo wa chupa,na hii mmeifanya kwa miaka mitano ,Sasa mzee anaangaika nyie mpo na subili muhujiza kwamba akishinda Basi muendelee kupiga pesa why
Mkuu ,na ccm kwa ujumla asiwadanganye mtu hali ni mbaya,mh wangu jpm ,mpaka Sasa huna Cha kupoteza taifa lazima liendelee kukuhudumia hata ukiwa mstaafu ,acha ccm ife tu ,ukishinda sawa ila ukishindwa mzee wangu we ,achia madaraka ki roho Safi ,na heshima yako itaendelea kulindwa,achana nao hawa ,ambao wamekua wanafiki kwako kisa matumbo yao ,wamekuharibia Sana kiongozi
Nakuhakikishia CCM itashinda kwa kishindo.

JPM 2020-2025

CCM 5 TENAAA
 
Sawa mkuu zipo siku chache zimebaki ila niseme lolote laweza tokea kushinda Sana au kushindwa Sana ,mda ni mwalim
Mkuu usidanganywe na mihemko ya videos za mikutano kuna kundi kubwa la wapiga kura limetulia tuu na wanajua JPM ndio chaguo Lao.

JPM 2020-2025
CCM 5 TENAAA
 
120277806_724486211614343_7270274407021162463_n.jpg

Hiiiiiiii
 
Nakataa aisee,hii ni video ya mwaka 1961 wkt wananchi wa Tanganyika wakiandamana kwny harakati za mambo ya uhuru.
 
Back
Top Bottom