Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Mwaka huu ni yao kuisoma nambaHiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.
Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii imefanya mambo makubwa.
Sasa kwa hali hii ya Leo inaonesha watu kutaka mabadiliko ambayo wapo tayari kufanya chochote ili hali HAKI inatendeka.
Ila Mwanza HAPANA[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaua wazee wa watu.
View attachment 1580967
Ameen ameenTakbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Tumechoka kutawaliwa na dikteta
We can't breathe
Wana mdanganya za mwaka juzi 😂😂😂
Alipokuwa Ameshiba madaraka!Mkuu hii kauli aliitoa lini?
Ahahaha,dah
Hakuna lolote tumempata mchomoa battery waibe waone hatuna muda tena na tume huru itajitengeneza yenyewe hakuna njia za kuqminisha tena huo ujinga!Ni dhahiri ujio wa Tundu Lissu umebadili upepo wa kisiasa, Mihemko ni jambo la kawaida kwenye nyakati kama hizi, Mwaka 2015 tuliona watu wakideki barabara kwa ajili ya Mheshimiwa Lowassa ila matokeo ya uchaguzi yalikuwa tofauti na matarajio ya wengi, Naimani wapinzani walijifunza na uzuri bado muda upo wa kurekebisha makosa na kuzingatia ushauri wa mheshimiwa membe aliotoa siku ile pale airport, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, inahitajika mikakati madhubuti kwenye ngazi za vitongoji, vijiji, kata hadi halmashauri ili upinzani ushinde uchaguzi, ni vizuri ikumbukwe tume iliyopo sio huru na dalili za kuwepo kwa upendeleo kwa chama tawala zimeshaonekana kwenye mchakato wa uchaguzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeeh!Walisema uchaguzi huu hawatatumia wasanii, kofia& tshir na mabango!! Lakini imekuwa kinyume chake!!
Mabango ya mwaka huu yamezidi ya 2015!!
Watanzania wenye akili timamu ni wengi sana. Watanzania wasio na akili timamu ni wachache sana. Sioni Mtanzania mwenye akili timamu atakayempigia kura Magufuli. NeverHili shangwe wangepata ccm, wangelipa hata CNN ionyeshe dunia. Surprisingly Lake zone is the Tundu Lissu strong hold.
Haijawahi kutokea Dunia nzima mkuu.Chief huyo jamaa ni muujiza unaotembea, yani hii inajidhihirisha kwamba Mungu kweli yupo, 16 Bullet lakini u hai.
Mwenye nchi ni mwananchi. Huu ni mwaka wa kuandika Historia kuu hapa Tanzania. Lazima tumstaafishe Magufuli na kumrudisha Chato iyo October 28.Ni kweli.
Wananchi tukiamua bhana hakuna kitu kinaweza kukwamisha.
Namuelewa sana Mtumishi wa Mungu Mwingira. Tundu Antiphas Lissu ni Mshindi. Huwezi shindana na mtu aliyeshindiwa vita ná MunguHana mabango, hatembei na wasanii, hafungi shule wanafunzi waje, hatishii watumishi wa serikali waje, hajajenga flyover, wala railways, wala kununua ndege.
Lakini MAELFU WANAMFUATA.
LISSU ANAKERA JAMANI?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hata Mimi ningepata HEARTATTACK !!!