Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

Uchaguzi 2020 Jiji la Mwanza lasimama usiku kwa ujio wa Tundu Lissu - Septemba 25

CCM LAZIMA TUMTAFUTE ALIYETUDANGANYA KUWA CHADEMA IMEKUFA TUKAJISAHAU NAONA KAMA CCM INAENDA KUWA CHAMA CHA UPINZANI NASISI LUZUKU ZITAKUWA HAZITOSHI LAZIMA TUTAFUTANE
Machadema mnajidanganya mchana kweupe!!! subirini sanduku la kura ndio mtawajua watanzania
 
Unadhani kila mtu ni aidha chadema au ccm,!!.. wengine sie watazamaji tu, sababu twajua uchaguzi ni maigizo ya kweli ili kuridhisha wakubwa tusikose mikopo na misaada, ndiyo maana hakuna tume huru
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!
 
Anapendwa au watu wanataka kuangalia mtu aliyepigwa risasi??
[emoji23][emoji23] Kwani si mlisema nyomi zote za lissu ni 2015?

Kwani hujui watu wanakuja kwenye FIESTA YA BURE?

Lissu kawapiga knock out za haja saivi mmejawa aibu unasema wanakuja kuangalia MTU aliyepigwa risasi.

Sasa wakiuliza kwanini serikali ilimnyima matibabu na kutokamata waliompiga risasi wananchi mtawaambia nini CCM?

Nasema MTWAAMBIA NINI WANANCHI CCM?[emoji23][emoji23]
 
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;

Makini,

Msomi,

Muelewa,

Mwenye busara,

Mwenye Utu,

Mtanzania mzalendo;

Anayetambua Urais ni Taasisi na si mtu binafsi! . . Katika Uchaguzi huu mtu huyo ni Tundu Lissu!!
NI YEYE TUNDU LISSU TU.
 
Jamani nimeogopa huku ni Mwanza ambako mheshimiwa rais aliwaambia wasukuma kuwa wao hawatabomolewa nyumba kwa upanuzi wa kiwanja cha ndege huku Kimara wanalia na kusaga meno baada ya kubomolewa nyumba?
 
Jamani nimeogopa huku ni Mwanza ambako mheshimiwa rais aliwaambia wasukuma kuwa wao hawatabomolewa nyumba kwa upanuzi wa kiwanja cha ndege huku Kimara wanalia na kusaga meno baada ya kubomolewa nyumba?
Ndio huko mkuu.

Kakataliwa nyumbani.

Ugenini itakuwaje?
 
Mpaka mda huu binafsi nimemuweka mzee wangu IGP katika maombi ,ni kiongozi mzuri ,japo wanamchanganya,na mungu atamvusha salama,kwa Sasa tume ndo ya kuokoa taifa hili, tulipofika hapa ni nchi Kwanza vyama badae mshindi halali kwa Kura halali atangazwe tu mda ukifika na ichi ndo kibarua kimebaki japo mpaka Sasa mungu kwa upendo wake mkuu na tz kaisha tuvusha mengi,
 
Takbirr
Allah Akbar
Inn shaa Allah Mara hii tunakwenda kupata rais muadilifu ambae hata watesa mashekh wetu na watanzania kwa ujumla
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe na genge lake
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Tumechoka kutawaliwa na dikteta
We can't breathe
🙏🙏
 
CCM wenyewe kwa sasa wameanza kumshangilia Lissu maana hakuna namna. Hadi polisi wanaogopa kurusha tear gas!
Naona wengi tunaandika hisia zetu na ndoto, pamoja na matamanio yetu humu ndani,

Wengine tunapiga kampeni humu kwa kutumia ushawishi wa maneno na hekima zetu za buree

Ukweli unajulikanaaa, kila mtu anajua, hata mnaojiita team TAL mnajua ukweli but mmejitia moyo kwa hisia zenu.. ukweli ni kwambaaa

JPM ndo presndent,,, huwezi mlinganisha na lisu ,,,, CDM wametumia kick ya lisu kupigwa risasi Kama kigezo Cha kuvuta hisia za raia but tal Hana lolote na hawez kushinda na ataishia kulaumu kaibiwa kuraaa ...... WANA CCM TUMEKAA KUMYAA TUNAWAANGALIA TU [emoji207][emoji205][emoji41] sisi tuna Jambo na JPM na nchi kwa ujumlaa ....
 
Nyie hamuwajui Watanzania mnadanganywa na mihemko ya kisiasa ya kikundi cha watu,sasa ngojeeni October 28 ndio mtajua hamjui Watanzania walivyo.

Watanzania wanaimani kubwa na CCM na hii haitafutika hivi karibuni.
Saizi Watanzania wanatumia akili hivyo vya imani ndio vinatuletea umaskini.
 
Ni dhahiri ujio wa Tundu Lissu umebadili upepo wa kisiasa, Mihemko ni jambo la kawaida kwenye nyakati kama hizi, Mwaka 2015 tuliona watu wakideki barabara kwa ajili ya Mheshimiwa Lowassa ila matokeo ya uchaguzi yalikuwa tofauti na matarajio ya wengi, Naimani wapinzani walijifunza na uzuri bado muda upo wa kurekebisha makosa na kuzingatia ushauri wa mheshimiwa membe aliotoa siku ile pale airport, huwezi kuiondoa CCM kwa kutegemea tu ukubwa wa mikutano ya majukwaani, inahitajika mikakati madhubuti kwenye ngazi za vitongoji, vijiji, kata hadi halmashauri ili upinzani ushinde uchaguzi, ni vizuri ikumbukwe tume iliyopo sio huru na dalili za kuwepo kwa upendeleo kwa chama tawala zimeshaonekana kwenye mchakato wa uchaguzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ila jua mungu ni fundi
 
Back
Top Bottom