Mkuu tunaitaji mitandao ya lami na sio lami tu, bali lami standard kama miji mikubwa mingine, tusiridhike kwa kujilinganisha na musoma au bunda, Mwanza ni jiji kubwa sana lisilokuwa na mitandai ya barabara, serikali ituangalie.Barabara za isamilo..kama balewa road na machemba road,,
Barabara ya buzuruga kwenda pasiansi.
Barabara kirumba kwenda bwiru kupitia Kitangiri
Barabara ya mecco to nyakato sokoni
Barabara ya sabasaba to buswelu via kiseke
Barabara ya mwatex to kahama via buswelu
Just to mention few
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kulingana na uwezo wenu mdogo katika kulinganisha mambo hamuwezi kumwelewa mleta mada, Ni kweli kuwa Musoma kulingana na ukubwa wake wa mji na mtandao wa lami katika mitaa yake hauwezi kuwa sawa na Mwanza.We jamaa unasema mwanza Ina mtandao mdogo wa lami kuliko musoma ...acha uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo njia ulizotaja hapo zipo kwenye tactics..kama hyo ya coca-cola kwenda buswelu....hyo ya igoma kwenda Hadi kishiri.. nyingine ambayo mwaka huh inajengwa na TARURA ni hii ya machinjioni Hadi mkuyuni..Nafikiri kulingana na uwezo wenu mdogo katika kulinganisha mambo hamuwezi kumwelewa mleta mada, Ni kweli kuwa Musoma kulingana na ukubwa wake wa mji na mtandao wa lami katika mitaa yake hauwezi kuwa sawa na Mwanza.
Musoma imeanea lami karibia robo tatu ya mji mzima wakati Mwanza bado ina kibarua kikubwa cha kufikia hata nusu ya mji wote,
Ebu chukueni muda kidogo kumwelewa mleta mada ambaye yuko sawa kabisa katika hoja yake, usilinganishe mtandao wa lami kwa kuangalia kilomita bali utoshelevu au coverance yake kulingana na mahitaji ya mji husika, Mfano mdogo kutokea mtaa wa Kanyama mpaka mtaa wa Nyakato ukiacha main road ya Musoma,
Kuna kipande kifupi cha igoma-sosoka-chadema-kishiri ni vumbi na makorongo makubwa licha ya barabara hiyo kuwa tegemeo la zaidi ya wakazi 63,000 kwa siku.
Ukifika ndama kando ya sheli ya olasiti mkabala na kiwanda cha cocacola kuna mchepuo wa Nyamadoke ni vumbi tupu mpaka wakazi wamegeuza njia kuwa mnada wa mbuzi.
Ukifika kwa mbele pale kijereshi vumbi to machinjioni, mbele kidogo kiwandani-kakebe vumbi n.k sasa hapa kosa la mleta mada lipo wapi?
Upo sahihi kamanda, kitu cha kutusaidia ni mradi wa tactic ipunguze hii kero, jiji kubwa lakini barabara ni kama tumesaulika, iukienda dodoma au dar then urudi Mwanza utakuja kuona, sisi Mwanza tunasafari ndefu sana kwenye miundombinu.
Uko sahihi mkuu. Watu wana mtizamo mdogo wa mambo. Hata ukusanyaji tu wa mapato, Mwanza haistahili kuwa na barabara za moramu kiasi hiki.Nafikiri kulingana na uwezo wenu mdogo katika kulinganisha mambo hamuwezi kumwelewa mleta mada, Ni kweli kuwa Musoma kulingana na ukubwa wake wa mji na mtandao wa lami katika mitaa yake hauwezi kuwa sawa na Mwanza.
Musoma imeanea lami karibia robo tatu ya mji mzima wakati Mwanza bado ina kibarua kikubwa cha kufikia hata nusu ya mji wote,
Ebu chukueni muda kidogo kumwelewa mleta mada ambaye yuko sawa kabisa katika hoja yake, usilinganishe mtandao wa lami kwa kuangalia kilomita bali utoshelevu au coverance yake kulingana na mahitaji ya mji husika, Mfano mdogo kutokea mtaa wa Kanyama mpaka mtaa wa Nyakato ukiacha main road ya Musoma,
Kuna kipande kifupi cha igoma-sosoka-chadema-kishiri ni vumbi na makorongo makubwa licha ya barabara hiyo kuwa tegemeo la zaidi ya wakazi 63,000 kwa siku.
Ukifika ndama kando ya sheli ya olasiti mkabala na kiwanda cha cocacola kuna mchepuo wa Nyamadoke ni vumbi tupu mpaka wakazi wamegeuza njia kuwa mnada wa mbuzi.
Ukifika kwa mbele pale kijereshi vumbi to machinjioni, mbele kidogo kiwandani-kakebe vumbi n.k sasa hapa kosa la mleta mada lipo wapi?
Kuifikia Dodoma ilipo sasa katika suala la barabara naombeni msahau kikubwa nikupambania atleast na Mwanza nayo ipate njia nne katika barabara zake kuu mbili na focus ihamie katika kufungua barabara za mitaani ambazo hazipitiki na zimekuwa kero kwa wakazi wa jiji hilo.Jiji linaitaji mtandao wa barabara za kutosha, nakuambia kamanda Mwanza yetu bado sana kwenye barabara ni kama serikli imetusahau, kwasasa Dodoma hatutaifikia kwenye mtandao wa lami za mitaani, na bado wamepewa 50+km za lami na bado wana tactic, ni hekima kuiomba tu serikali itufanyie mazuri.
Wew umeshauri nin tofauti na kulalamikaUko sahihi mkuu. Watu wana mtizamo mdogo wa mambo. Hata ukusanyaji tu wa mapato, Mwanza haistahili kuwa na barabara za moramu kiasi hiki.
Nitajie barabara za mitaa hapo katikati ya Jiji la Mwanza ambazo hazina lami. Baada ya hapo ndio nitacommentNaomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.
Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.
Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.
Kuna mkuyuni Butimba ni lami, Nyegezi corner Malimbe lami, nyegezi stand majengo mapya lami. Sasa atuambie ni barabara zipi za mitaani hazina lamiJibu swali ni jiji gani hapa Tanzania lenye barabara za lami hadi mitaani?
Arusha,tanga,mbeya,dodoma na dar es salaam
Tumia akili wewe mpuuzi
Ukitoa dar mwanza ndio inafuata kwa kua na barabara nyingi za mitaani
Mfano ni mitaa ya mwananchi,nyakato(Bismarck)kitangiri,mji mwema,jiwe kuu(barabara ya mawe)buzwagi(barabara ya mawe)bendera tatu(barabara ya mawe)
Stone gold,minazi mitatu,mji mwema,tunza nk
Kibongo bongo hizo ndio barabara za mitaa ukitaka barabara kama za Beverly hills Los Angeles utazikuta kwenye ndoto
Mfano ukiwa unatokea Tarime ukishaona tu kibao pale Bunda cha kwaheri mkoa wa Mara sasa unaingia Simiyu to Mwanza jua ndiyo mwisho wa lami standard sasa ni mwendo wa mitikisiko, mashimo, madaraja ya chuma ya kizamani, marekebisho ya barabara ya yanayofanyika main road zaidi ya miaka mitatu kila siku magari yanapitishwa pembeni ya barabara kwenye madimbwi n.kMkuu tunaitaji mitandao ya lami na sio lami tu, bali lami standard kama miji mikubwa mingine, tusiridhike kwa kujilinganisha na musoma au bunda, Mwanza ni jiji kubwa sana lisilokuwa na mitandai ya barabara, serikali ituangalie.
Musoma ? Hako kamji na mtandao wa barabara zake unalinganisha na mtandao wa barabara za Jiji la Mwanza ? Hauko seriousHata Manispaa ya Musoma tu ina izidi Mwanza kwa mtandao wa lami. Licha ya mapato yake madogo as compared to Mwanza.
By the way mimi ktk uzi wangu nime sema duniani. Ina onesha huna exposure ya majiji hata Africa tu. Akili yako ipo limited to Tanzania Perspective only.
Wewe kojoa ukalale usiwe unalinganisha Jiji la pili nchini Tanzania na hako kajiji sijui unakaita Musoma.Una taja main Road ya Taifa chini ya Wizara una ita mtandao wa Lami za mitaa?
Musoma mapato yake yana ingia mara ngapi ya mapato ya Jiji la Mwanza? Ubora na lami walizo nazo musoma una weza linganisha na ule uchafu wa mita 400 Buhongwa, na Mkolani?
Bugando ili jenga serikali? [emoji3][emoji3][emoji3] una chekesha. Serikali hii ya Mwanza ijenge lami ya mtaa yenye ubora wa Bugando?
Huyo ni murumi alifadhiliwa.
Barabara ya Mkolani to Nyahingi to Malimbe ime jengwa ya hovyo mita 400 tu. Ili pata ufadhili wa Warumi St. Clara Hosp., urasimu wa serikali umemkimbiza mfadhili.
Luchelele ina lami wapi? Akati wame ongeza mita 400 tu pale. Iliyopo ni ile Zawadi ya Magufuli 2005 huko kwa chuo cha SAUT[emoji2][emoji2][emoji2]
Kumbe nawasiliana na mburula. Kwa heri.Una jiji liko wapi Mwanza au una panua mdomo tu? Halmshauri za Ilemela na Nyamagana ziko wapi ?
Utakuwa msukuma. Ushamba ni jadi yenu.Wewe kojoa ukalale usiwe unalinganisha Jiji la pili nchini Tanzania na hako kajiji sijui unakaita Musoma.
Ushamba jadi yenu wasukuma. Msivyo kuwa na exposure ya Majiji. Mkiona mwz ilivyo mna zuzuka! Mkidhani mmefika. Wakati ni uchafu tu. Jiji halipo hapo soko kuu, msukuma ww. Jiji liko pembeni. Ktk makazi ya Raia. Ndio maana Halmshauri na stendi zina hama. Jiulize ni mtaa mingapi zina lami ziliko Halmshauri za Jiji?Kumbe nawasiliana na mburula. Kwa heri.
Ufinyu wa barabara ni tatizo kubwa mwanza,tatizo la maji nadhani linachangiwa na jiografia ya milima wenzenú wa shinýanga ile tambarare inawabeba sanaNaomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani.
Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha ubora. No strategic plans (wana weka nguzo za taa wakati kuna mkakati wa kupanua barabara). Majengo makubwa hadi VOIL yanajengwa karibu na barabara bila zuio la upanuzi. Barabara ni finyu. Jiji kubwa barabara kubwa ni njia 2 kweli? No alternative routes, kuingia jijini!! Hapa: TANROADS, TARURA, MIPANGO MIJI, ARDHI wakuu wa vitengo wote, Rais piga chini...wapeleke NIDA.
Maji: Mwanza ime zungukwa na Ziwa pande zote ila mgao wa Maji ni mkali kuliko Shinyanga. Wanazalisha lita million 90 kwa siku wakati mahitaji ni lita million 160 kwa siku. Je hawakujua? Je hawajui population growth rate na growth rate ya jiji? Hawa kujipanga? Masoko: masoko ya hili jiji hayana hadhi ya Jiji. Ni ya hovyo. Maji machafu , giza na tope ndio sifa kuu.
Vyombo vya Usalama naomba msaidieni mama kufanya kazi. Uzembe wa hovyo ni mwingi. Pelekeni taarifa kwa wakati.
Mhhhh yani musoma iizidi mwanza kwa barabara ?Hata Manispaa ya Musoma tu ina izidi Mwanza kwa mtandao wa lami. Licha ya mapato yake madogo as compared to Mwanza.
By the way mimi ktk uzi wangu nime sema duniani. Ina onesha huna exposure ya majiji hata Africa tu. Akili yako ipo limited to Tanzania Perspective only.