Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

Ukitaka hata picha unapata [emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna shule ya Main Road. Kasome. Mwanza Main Roads ni 2 tu. Natta to Musoma. Na Mwanza to Shinyanga.
Kumbe hamna mtu hapa[emoji3][emoji3]
Hahaaa mi mwanza nimewahi fika mara moja tu but najua hizo ulizotaja ndio main roads sasa nashangaa mtu analinganisha musoma na mwanza
 
Atakuwa amekuelewa mkuu!! Akizidi kuleta ujinga itabidi niingilie na mimi sasa
 
Uki fanya analysis ya square mita za lami za Mji wa Musoma Town na Revenue Collection ya Musoma Vs Square mita za lami za mitaa Mwanza na Revenue Collection ya Mwanza na uki linganisha ubora wa barabara zao. Musoma are much better than Mwanza. Shinyanga Road na Musoma Road. Siyo za Jiji la Mwanza hizo ziko chini ya Wizara ya Ujenzi usi zihesabu. Uta ona how hopeless the City is.
 
Wewe ni muongo kabisal!!
 
Toa mfano wa hizo barabara za mitaa kwenye majiji mengine ya Tanzania [emoji1787]
Arusha,dodoma,tanga na mbeya nipo hapa nimekaa
Tanga kuna lami za mitaa nyingi tu sku izi ,msambweni,sahare,donge,magomeni,chumbageni, nguvumali,mikanjuni,
 
Ufinyu wa barabara ni tatizo kubwa mwanza,tatizo la maji nadhani linachangiwa na jiografia ya milima wenzenú wa shinýanga ile tambarare inawabeba sana
Juu ya milima ndiko tanki za maji ina paswa zikae. Zimwage maji chini. Kwa technolojia ya karne hii ya 21 hakuna sababu kama hiyo.
 
Kwa hyo hapo nani kasema ni Nyerere road au shy road....
Jiji la Mwanza Lina km square 400..
mtandao wa barabara za lami ni km 100.kwa barabara za mitaa na km 45 main road...
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka usijisumbue kubishana nao....Hapo kuna barabara kibao tu hujazitaja ...
 
Wala sikulazimishi kuamini, hata singida ina main road nzuri kuzidi main roads zote za Mwanza (Musoma na Shinyanga roads)

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli.
Tena ile main Road ya Mwanza..kuanzia NELA hadi Airport siyo pesa za Jiji. Bali Magufuli alichukua hela za Watanzania wote za sherehe za Uhuru na kuzipeleka kujenga hiyo barabara. Jiji kama jiji na TANROADS Mwanza ni mchwa wa kula hela tu. Hakuna wanachofanya.
 
Ukizungumzia metropolitan area of mwanza ni wilaya za nyamagana na ilemela au unaweza kusema manispaa za ilemela na nyamagana
 
Kwa hyo hapo nani kasema ni Nyerere road au shy road....
Jiji la Mwanza Lina km square 400..
mtandao wa barabara za lami ni km 100.kwa barabara za mitaa na km 45 main road...
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa barabara zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi. Ondoa misaada 2 (SAUT Road 2005 Magufuli, na Nella to Airport pesa za Uhuru-Magufuli).
 
Mwanza ukiacha barabara mbovu is the most dark city nchini [emoji1][emoji1] barabara kuu zote taa hazifanyi kazi

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
M walivotengeneza tu ile barabara ya Iloganzara-tbl-bwiru roho yangu safi kabisa,acha watu wapondee wanavojua we dont care
 
Ondoa barabara zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi. Ondoa misaada 2 (SAUT Road 2005 Magufuli, na Nella to Airport pesa za Uhuru-Magufuli).
wew acha zako . jukumu la ujenzi wa barabara magufuli aliondoa halmashauri..sa hv ni TARURA na TANROADS .. halmashauri wanafund pesa kiasi TARURA....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…