Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kaliwe huko pambana na bangi zenu mwanza hamuikuti ng'o washamba nyie vaeni mitumba ya wazungu wasiochamba kwa maji, usilete mambo ya tanga mna nn cha ajabu mademu wenu kama madume hawaga swaga vijijj kibao, Tanga raha kila mtu anpenda
🤣🤣🤣
 
Hakika kijana nimekukaribisha karibu sana, sasa nakupa huongozi wa kuongoza hii team Mwanza, mimi na Dpresident, beira boy, mapank na chaza tumekupa uongozi huwe team captain.
🤣🤣🤣Ndo Captain wenu huyo hajui kuandika
 
Usagara na nyamadoke je ?
Usagara ipo Misungwi ila itakuwa ndani ya manispaa mpya ya misungwi lakini Nyamadoke ipo halmashauri ya manispaa ya ilemela inapakana na buswelu upande wa kaskazini mashariki.
 
Usagara ipo Misungwi ila itakuwa ndani ya manispaa mpya ya misungwi lakini Nyamadoke ipo halmashauri ya manispaa ya ilemela inapakana na buswelu upande wa kaskazini mashariki.
Shukrani mkuu,
Nataka kununua kiwanja cha kuishi ndani Jiji la Mwanza ila nimetoka Mwanza 2013. Napata shida sana ya kuchagua sehemu ambayo naweza kupata kiwanja kizuri kwa pesa isiyozid 3M.
 
Shukrani mkuu,
Nataka kununua kiwanja cha kuishi ndani Jiji la Mwanza ila nimetoka Mwanza 2013. Napata shida sana ya kuchagua sehemu ambayo naweza kupata kiwanja kizuri kwa pesa isiyozid 3M.
Nakushauri nunua Nyashishi,kisesa,fela au Usagara hayo ndo maeneo ambayo mji umeamia pia itakuwa rahisi kupata kwa hiyo ela yako.
 
Manispaa ya missungwi 🤣🤣🤣🤣
Nyie watu Kuna namna hamko serious
 
Shukrani mkuu,
Nataka kununua kiwanja cha kuishi ndani Jiji la Mwanza ila nimetoka Mwanza 2013. Napata shida sana ya kuchagua sehemu ambayo naweza kupata kiwanja kizuri kwa pesa isiyozid 3M.
Kwa hiyo hela yako kawahi maeneo ya fella, fumagila ata nyashishi unaweza kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…