Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Lake zone mineral belt .... View attachment 2269096
Hili li mgodi likija kuanza Mwanza itaenda extra mile kwenye uchumi, na GDP ya Mwanza itakuwa pamoja na GDP ya Tanzania kwa ujumla, Mwanza inafunguka sasa, huku sgr, kule kigongo busisi hapa mv Mwanza hapa kazi tu, pembeni sijui masoko,mastendi n.k tupate barabara za uhakika tu tuzidi kufukuza Dar kimya kimya bila kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…