Pre GE2025 Jiji la Tanga limepitisha rasimu ya bajeti ya Tsh. bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Swali rahisi mmeulizwa, Bil 25 kupitia vyanzo vipi vya ndani?

Mmeambiwa makusanyo ya Bandari ni mapato ya TRA sio makusanyo ya ndani.

Bandari kuwa busy kumestimulate biashara nyingi na kuongeza mzunguko labda hapo Halmashauri ndipo wanapookota.
Uwepo wa makampuni mengi yanayohusika na bomba la mafuta yamaeongezq nayo mzunguko na kuleta tozo nyingi.
Inawezekana pia kile kiwanda cha wachina pale nacho kimeongeza mzunguko nakuleta chachu kwenye makusanyo yao.
Uwepo wa viwanda vingine vya cement Tanga cement na kile kidogo pale juu labda na vyenyewe vinachangia.

Kwangu mimi Bil25 ni hela ndogo sana kujisifia kwenye makusanyo ya mkoa ambao uko na border na nchi nyingine, uko na bandari nk
Hizo bil 25 bado nyingine hazijapigwa hapo na wahuni.
Baadala ya kukaa vikao na kunywa chai waaanze kuumiza vichwa nini wafanye mkoa walau ukusanye 1trilioni Kwa mwaka.
 
Rekebisha sio makusanyo ya mkoa ni makusanyo ya Halmashaur ya JIJi👃👃
 
Vyanzo vya mapato ni nini?

Umeuliza vyanzo vya mapato umewekewa.

Hiyo link yako imekuonesha walikusanya zaidi ya 17B karibia 18B, sasa kama waliweza kufika hapo kwanini Washindwe kuwa na makisio ya 25B?
Ndio Maana nimekwambia hawana huo uwezo wa kupata Bilioni 25
 
Swali rahisi mmeulizwa, Bil 25 kupitia vyanzo vipi vya ndani?

Mmeambiwa makusanyo ya Bandari ni mapato ya TRA sio makusanyo ya ndani.

Bandari kuwa busy kumestimulate biashara nyingi na kuongeza mzunguko labda hapo Halmashauri ndipo wanapookota.
Uwepo wa makampuni mengi yanayohusika na bomba la mafuta yamaeongezq nayo mzunguko na kuleta tozo nyingi.
Inawezekana pia kile kiwanda cha wachina pale nacho kimeongeza mzunguko nakuleta chachu kwenye makusanyo yao.
Uwepo wa viwanda vingine vya cement Tanga cement na kile kidogo pale juu labda na vyenyewe vinachangia.

Kwangu mimi Bil25 ni hela ndogo sana kujisifia kwenye makusanyo ya mkoa ambao uko na border na nchi nyingine, uko na bandari nk
Hizo bil 25 bado nyingine hazijapigwa hapo na wahuni.
Baadala ya kukaa vikao na kunywa chai waaanze kuumiza vichwa nini wafanye mkoa walau ukusanye 1trilioni Kwa mwaka.
Nimewauliza pia ,walete evidence ya kuonesha walifikisha target ya 21bln ya mwaka 2023/2024 Ili iuine kama wanaweza fikisha 25bln hakuna aliyeleta wanapiga blaa blaa tuu 😁😁

Tanga haina uwezo wa kupata hiyo 25bln kama own source Kwa Sasa hata kama Bomba la Mafuta litaanza kazi.
 
Vyanzo vya mapato ni nini?

Umeuliza vyanzo vya mapato umewekewa.

Hiyo link yako imekuonesha walikusanya zaidi ya 17B karibia 18B, sasa kama waliweza kufika hapo kwanini Washindwe kuwa na makisio ya 25B?
Unnecessary porojo,leta figures za 2023/24 kama justification
 
Heeh,Mbona ni ndogo sana wakati Moshi tu ambayo sio jiji imekusanya bilioni 41 na hata mwaka wa fedha wa Serikali haujakwisha?
 
Mzee una muda gani hujaenda Tanga? Na kama ulienda uliona bandari ya Tanga kwasasa ilivyo na movements?
ile bandari hivi sasa inahudumu meli nyingi sana.
labda wapate katika tozo za watoa huduma ila mapato ya bandar ni ya TPA.
 
Mdomo matupu bila figures ni sawa na chakula bila chumvi.
Sawa,fuatilia Taarifa current ya Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi,utafahamu,hadi DED akapewa zawadi kwa kupaisha mapato ya Manispaa kutoka bil.41 hadi bil.53

Halafu usilazimishe kujua kila kitu,kama huna taarifa kaa kimiya usipende kuleta ujuaji.
 
Wewe mgumu sana kuelewa.Kuna mambo 2 hapa, Bajeti ya Halmashauri ambayo Ina sehemu kuu 2 za Mapato,own source ya Halmashauri na ruzuku ya serikali kuu.

Wewe unaleta habari za Bajeti nzima ya Halmashauri ya Moshi ambayo inahusu vyanzo vyote.

Sisi tunajadili Bajeti ya Tanga ambayo ni mapato Yao wenyewe yaani own source ndio hiyo 25lbn estimates.Ukitaka Bajeti nzima ya Jiji Kwa pande zote mbili za Mapato ni zaidi ya Bilioni 80,mara 2 ya hiyo Moshi Yako.
 
Back
Top Bottom