Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Inasikitisha sana

Poleni sana

Ova
 
Gesi imesha leta madhara kwa watu wengi sana,kikubwa ni kufuata masharti,yani hatutakiwi kudharau hata siku moja.Mara nyingi inatakiwa kabla ya kuwasha gesi milango na madirisha ni vizuri vikiwa wazi,ikishawaka ndio unashauriwa kufunga,kingine ni kusikiliza harufu kabla ya kuwasha,ukisikia kuna harufu tu ya gesi usijaribu kabisa kuwasha chochote,Anyway ajali huwa haina kinga ila ni vizuri kuchukua tahadhari kila inapobidi...
 
Funzo
Ukisikia Harufu ya gesi usiwashe jiko
Fungua madirisha kwanza

Zima plate zote
Hakikisha hamna harufu ndio uwashe tena
 
Kuna uhusiano gani kati ya perfume au dawa ya mbu na gesi?
Flammable/inawaka moto

Hata hilo kopo likiisha usilichome linalipuka kama bomu
Ndio maana haziruhusiwi kwenye ndege


Kuna umuhimu wa kufundisha zaidi safety precautions
 
Hapa ndo naelewa umuhimu wa jiko la mkaa tu kwa hawa wanaotoka vijijini
 
Lakini pia,chakuongezea tu inapaswa pia tukawa na ndoo Ikiwa na mchanga ndani kea ajili ya kuzimia endapo itatokea
 
Kuna uhusiano gani kati ya perfume au dawa ya mbu na gesi?
Vyote vina gas, perfume ni harufu na gas,dawa ya mbu ni dawa na gas,
Gas ikikutana na moto inatanuka kutanuka ndio kulipuka kwenyewe
 
June 6 ya mwaka gani?
Au haya maafa yote yametokea mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…