Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Issue si gas ,nahsi issue ni appliance wanazotuletea wachina ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni yeyeHuyu ndo Abeid Falhum??? Kwa wanaomjuaView attachment 2250276
Inashangaza, yaani kwanini mtu alete hadithi kama hiyo ya uongo?Mkuu, ubishi unakusaidia nn.!?
Tukio ni la kweli. Mwandishi wa mchongo.Mkuu ungerud tu ukafuta comments zako kule juu maana mpaka Sasa najua ushapata ukweli wa hili tukio.
Kuna uhusiano gani kati ya perfume au dawa ya mbu na gesi?Usipulize dawa ya mbu au perfume jirani na mtungi wa gas ni bomu
Flammable/inawaka motoKuna uhusiano gani kati ya perfume au dawa ya mbu na gesi?
Hapa ndo naelewa umuhimu wa jiko la mkaa tu kwa hawa wanaotoka vijijiniHatari kubwa iliyo kwenye nyumba nyingi ni hawa wanaoitwa ''wadada wa kazi''. Kwa vile treatment ya hawa wasichana siyo nzuri kwenye familia nyingi, wanakuwa wanaacha kazi mara kwa mara na kusababisha familia nyingi kutafuta replacement kila baada ya muda fulani. Hatari ni kuwa unakuta wengi ni wageni wasioelewa madhara ya gesi. Wengine wanafanyishwa kazi nyingi kiasi ambacho huwafanya kushindwa kuwa makini wanapotumia jiko la gesi. Unaweza kukuta msichana anafanya kazi nyingi kwa mpigo, anapika, anafua, anabembeleza mtoto...
Vyote vina gas, perfume ni harufu na gas,dawa ya mbu ni dawa na gas,Kuna uhusiano gani kati ya perfume au dawa ya mbu na gesi?
Hii nchi inahitaji sana ElimuBiogas 😎
Kumbuka hapa ni JF mkuu,,free sharing of ideas!Hulazimishwi kujifunza au kusoma
Hii ni kwa wakati wote au gesi ikiwa wazi tu?Usipulize dawa ya mbu au perfume jirani na mtungi wa gas ni bomu
Huku kwetu wanapewa boda boda vichaa wanakimbia nayo hovyo tu ,, mitungi inatikiswa hata siwezi kuelezea hapaMbona ukiwa kwenye gari unatikisika?