Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Ni kweli kabisa mkuu. Aliyeleta stori kaongeza chumvi sana. Habari kama ingekuwa hivyo tungeiona magazetini front page.
Mkuu kwani wewe ulitaka kusikiaje ili uridhike? Katika mihangaiko ya maisha kuna hali tatu tu;

1. Kula unachokitaka, au
2. Kula unachokipata, ama
3. Kula ili usife.
Chaguo ni lako.
 
[emoji24][emoji24][emoji24] Aisee,

Nyie! Sijui nimshuhudie vipi Mungu, nilinunua gesi tarehe 6 Mwezi Mei,lakini mpaka tarehe 25 ikawa imeisha, ilikuwaje?

Ni hivi, haikuwahi kutokea hali hii kwa sababu gesi huwa nakaa nayo miezi miwili na nusu mpaka mitatu, ati siku zote kati ya tarehe 6 - 25 Mei nasikia harufu mbaya ndani, siku zote nafanya usafi, nikadhani ni harufu ya panya, nikahisi ni maji yamekwama muda mrefu, aisee kumbe gesi inavuja [emoji24][emoji24][emoji24] na siku zote nawasha moto, ila mpaka nakuja kugundua...dah!!

Nimesoma hii taarifa, nimeumia sana,
 
Huku kwetu wanapewa boda boda vichaa wanakimbia nayo hovyo tu ,, mitungi inatikiswa hata siwezi kuelezea hapa
Mtungi ukifika unauweka chini kwa dakika kadhaa hata nusu saa utulie ndio unautumia.

Kimsingi unatakiwa kuwa na mitungi miwili, ukiwa unatumia m'moja hakikisha mwingine unagesi tayari. Huu unaotumia ukikata agiza mwingine kisha ule uliohifadhi uanze kutumika.
 
Tuwe makini na wapi tunanunua accessories za gesi kama ule mrija, regulator na jiko lenyewe. Vifaa hivi vingi huwa vinakuwa feki hivyo huchangia sana kuhatarisha usalama.

Mimi nilishanunua regulator ya 15,000 ya mtungu mkubwa kuja kuiweka nikatumia kama wiki hivi ikaanza kutema. Nikawa nikitoka home naifunga pale kwenye lock nikirudi ndio naifungua. So ilikuwa rahisi kudetect kuwa inaleak gesi.

Nikaitoa nikamrudishia muuzaji anibadilishie akanipa nyingine ya 25,000 kidogo ikawa imedumu.
 
Reactions: amu
Kuna maafa yalitokea kijana aliingia choo cha shimo akiwa na taa ya chemli akaona Mende wengi akachukua spray Ili awue wadudu alizalisha bomu hatari lililofumua choo na yeye

inahuzunisha ila nimejikuta nacheka...
 
KIJANA ABEID NI SHUJAA KWA TUKIO HILI.
BILA SHAKA WANA HARAKATI WA WANAWAKE WATAMTAMBUA KWA HILO.
SIO MPAKA MUME AUWE MKE NA WATOTO NDIO MJITOKEZE
 
Umenifungua pakubwa sana. Ahsante bro.
 
Siku hizi kuna majiko ya plate 2 yana kiberiti automatic,unakibonyezea kwa ndani kidude cha kupunguza na kuongeza moto kisha unazungusha kulia,jiko linawaka,mfano yapo aina ya NIKAI
 
Mungu pekee akaendelee kutulinda maana peke yetu hatuwezi!
R I P [emoji848][emoji26]
 
hii ni kweli kabisa
 
Una uhakika gani Kama shida ilikuwa kwenye regulator na sio kwenye maungio ya pipe na regulator au pipe na valve?
 
Siku hizi kuna majiko ya plate 2 yana kiberiti automatic,unakibonyezea kwa ndani kidude cha kupunguza na kuongeza moto kisha unazungusha kulia,jiko linawaka,mfano yapo aina ya NIKAI
Sawa....ila tatizo ni cylinder ikavuja gesi!
Lazima ugundue au ushtuke mapema
Uizuie

Ova
 
Mimi ninavyosikia GESI YA SIKU HIZI HAILIPUKI HATA IKIVUJA! Niueni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…