Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Mkuu kwani wewe ulitaka kusikiaje ili uridhike? Katika mihangaiko ya maisha kuna hali tatu tu;Ni kweli kabisa mkuu. Aliyeleta stori kaongeza chumvi sana. Habari kama ingekuwa hivyo tungeiona magazetini front page.
1. Kula unachokitaka, au
2. Kula unachokipata, ama
3. Kula ili usife.
Chaguo ni lako.