Unashauri wakae na mabomu mawili ndani?Mtungi ukifika unauweka chini kwa dakika kadhaa hata nusu saa utulie ndio unautumia.
Kimsingi unatakiwa kuwa na mitungi miwili, ukiwa unatumia m'moja hakikisha mwingine unagesi tayari. Huu unaotumia ukikata agiza mwingine kisha ule uliohifadhi uanze kutumika.
Wanashauri sehemu ilipo mtungi wa gesi au lile jiko pawe na hewa ya kutosha.Mimi ninavyosikia GESI YA SIKU HIZI HAILIPUKI HATA IKIVUJA! Niueni!
nimeangalia jumbe zako na jinsi unvyozipangua pamoja na jina lako umesababisha nimecheka wakati nikiwa na huzuni wa msiba huu.Poleni sana mkuu.
Hoja yangu imeangalia zaidi uwasilishaji wa aliyeandika.
All in all Mungu awafariji wafiwa.
Kwa nchi yetu ipo siku utashinda njaa utalala njaa.
Kama una familia ndo balaa.
Sarcasm au umemaanisha?Itapendeza zaidi ukiacha kabisa kutumia gas maanake hata hizo pipe zinaleta gas ndani na inaweza kuvuja kwenye jiko lenyewe ikawa ajali. Tumia mkaa tu.
Mjinga wewe acha uoga wewe ajali inaweza kukutokea popote pale cha msingi Ni kuwa makiniNarudi kwenye mkaa
Ila Mimi jiko la gesi limenipitia kushoto kabisa
Sasa mtu analeta visingizio wakati tatizo ni uzembe wetu? Mtu kama huyu atumie mkaa tu maanake hata ndani ikiingia pipe kuna mzembe ataacha jiko wazi itavuja. Mimi niko na mtungi ndani naishi nao. Ni kuwa makini tu.Sarcasm au umemaanisha?
Safest ni induction cooker.
Nothing is fool proof if you are foolish enough.Sasa mtu analeta visingizio wakati tatizo ni uzembe wetu? Mtu kama huyu atumie mkaa tu maanake hata ndani ikiingia pipe kuna mzembe ataacha jiko wazi itavuja. Mimi niko na mtungi ndani naishi nao. Ni kuwa makini tu.
Mara nyingi gas huwa inavuja kwenye maungio ya pipe kuingia kwenye jiko na pipe kuingia kwenye regulator Kama ni mtungi mdogo basi burner na valve zimelegea Sasa haya yakitokea kama sehemu ina uwazi wa kutosha gas haiwezi kulipuka itavuja na kupotea kama hutagundua na ku fix tatizo gas itaisha mapemawatu huwa wanachukulia poa sana mambo haya , kunahitajika tahadhari ya hali ya juu maana gesi ni balaa ikilipuka bomu lina afadhali hicho kishindo chake. Siku hizi kuna hata lickage detectors za gas.
Alafu unawekaje mtungi nje?Sasa mtu analeta visingizio wakati tatizo ni uzembe wetu? Mtu kama huyu atumie mkaa tu maanake hata ndani ikiingia pipe kuna mzembe ataacha jiko wazi itavuja. Mimi niko na mtungi ndani naishi nao. Ni kuwa makini tu.
Huyu wa bongo ni gari yake,alizingua uvunguni ikamlalia akafaJoHn walker Huyu wa bongo????
Mjinga wewe acha uoga wewe ajali inaweza kukutokea popote pale cha msingi Ni kuwa makini
Mimi naishi chumba kimoja hapa Nina mitungi midogo miwili ile ya kilo 6 na mtungi mmoja mkubwa (high pressure) wa kutumia jiko la plate 2 na zaidi kwahiyo majiko yangu unataka niyaweke nje yaibiwee!!!Unajua kuwa gesi ni hatari alafu unakaa nayo ndani?
alafu unasema ajali inaweza kukutokea popote..
Jiko la umeme ni zuri na salama Zaid