Jikoni leo na Zero IQ

Jikoni leo na Zero IQ

Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,

Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,

1:View attachment 1170311

Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni,

Note.

Update inaendelea mpaka msosi unaiva.
Kweli ww ni zero Iq kabisa
 
Maisha ya chuo raha sana endelea bwana mdogo tu utafika mbali sana kuwa mbunifu
 
Hahahaha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] leo nifurahi kwa uzi huu
 
Back
Top Bottom