Luther760
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 316
- 241
Kweli ww ni zero Iq kabisaKuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu,
Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa,
1:View attachment 1170311
Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni,
Note.
Update inaendelea mpaka msosi unaiva.