Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Jikoni leo(sikukuu) na hazard cfc

Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.

Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.
 
Mkuu unapanda mlima mkubwa barani Africa ukimaliza utaeza panda huo mwingine kweliii

Dah ningekua time Traveller ningekujaa apoo
Nazuga na huo mlima hapo asije kukimbia..nina jibapa linanisubiri mkuu,
 
Mchicha nayo mboga??Mchicha natumiaga kuwashia moto getoni kwangu.
 
Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.

Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.
Kwa niaba ya mgeni naomba kuona picha ya kitanda, kilivyonyooka tuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafurushi nyie, hebu nikaribisheni huko[emoji57][emoji57][emoji57]
Karibu mama la mama...unajua venye mwanao nakupendaga[emoji23]
 
Kwa niaba ya mgeni naomba kuona picha ya kitanda, kilivyonyooka tuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Unitumie na Mimi.
 
Back
Top Bottom