Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aisee mkuuKimeivaa wakuu...
Ni mda wakusubiri ile kauli.."ngoja nimpe bodaboda uongee nae"[emoji1787]View attachment 1179153
Mbona kama nimeona ushafika eti, ko umeniacha jamani... Ni hatari sana kwenda mwenyewe ujueHahahahaha twende.
Hapo umeridhika eeeh
Nakazia. Mbili mchana mbili usiku.
Usisahau kuweka na zile nne za jana.
Hahahhahaha hahaha. Hebu nielekeze bhana.
Gari linafika hadi huko au nipaki hapa juu juu?
Bado sijafika. Nikifika lazima niweke simu kando[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama nimeona ushafika eti, ko umeniacha jamani... Ni hatari sana kwenda mwenyewe ujue
Nazuga na huo mlima hapo asije kukimbia..nina jibapa linanisubiri mkuu,Mkuu unapanda mlima mkubwa barani Africa ukimaliza utaeza panda huo mwingine kweliii
Dah ningekua time Traveller ningekujaa apoo
Kwa niaba ya mgeni naomba kuona picha ya kitanda, kilivyonyooka tuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]Ila wanaume wakiwa na ugeni wanajua kujituma jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hapo hazard umeamka SAA 11 ukapiga deki , ukafua, ukaweka kila kitu sawa. Kitanda umetandika na nguo kabatini umepanga.
Umepika kama vile umesoma mapishi.
Ila sasa mkioa mnajidai hata kukata kata kitunguu hamjui.
Fanya kunitumia kwenye raha leo
Husahau mkuu?
Usisahau kuweka na zile nne za jana.
HahahahahahaBado sijafika. Nikifika lazima niweke simu kando[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mama la mama...unajua venye mwanao nakupendaga[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mafurushi nyie, hebu nikaribisheni huko[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Tahmeed ndio linafika fasta
Sawa nimefika.Hahaha linafika ...tena hyo yako ipo juu juu kabisa
Mkikikuta bahati yenu...mimi hua sina uvumilivu kabisaFunika chakula kitapoa...
Boda boda iko mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwa niaba ya mgeni naomba kuona picha ya kitanda, kilivyonyooka tuuuu[emoji39][emoji39][emoji39]
EeehhhSawa nimefika.
Toka nje unipokee.