Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Hiyo staili niliibia kwa mrembo wangu maana nilikuwa namega utaalamu wa mapishi, ndio nikaamua niifanye kwa vitendo
 
Reactions: BAK
Namwonea wivu mwanamke utakaye muoa...hakuna raha kama kuolewa na mume anayejua kupika[emoji39]
Najua yeye anajua zaidi yangu, atanifundisha zaidi maana nitakuwa bega kwa bega jikoni kuanzia kumsogezea vitu muhimu wakati wa kupika.
 
Baadhi ya Wabongo watakwambia kalishwa LIMBWATA yule! Mwanaume mzima eti anaingia jikoni na mkewe yupo 😂😂😂😂

Namwonea wivu mwanamke utakaye muoa...hakuna raha kama kuolewa na mume anayejua kupika[emoji39]
 
Baadhi ya Wabongo watakwambia kalishwa LIMBWATA yule! Mwanaume mzima eti anaingia jikoni na mkewe yupo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uzuri siku hizi ni mambo ya self contained, jiko ndani kwa ndani. majirani hawawezi kujua kama mtu yupo ndani jikoni hadi waone kwa macho
 
Wanaume wa jf mmeamua kupika[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…