[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwa hii nguna kwanini wachawi wasikuchukue ukalime usiku wa leo tu?
Sawa bana
Kazi ipoo una safar ndefu kujua kupika ww3. Nimechemsha maji na kuloweka samaki waliokaangwa ili walainike.
4. Nimekaanga vitunguu, karoti na hoho kwa pamoja kwa mafuta hadi vikaiva kabla ya kuweka nyanya nilizokatakata.
5. Nimeweka nyanya nilizomenya na kukatakata(sina kifaa cha kusagia) kwenye sufuria yenye vitunguu, karoti na hoho vilivyoiva ili nipate mchanganyiko wa supu nyanya zitakapoiva.View attachment 1177890
Hapa nakupa 0 ya 1007. Nimetia chumvi na kusubiri kwa dakika kadhaa hadi samaki waive pamoja na mchuzi/supu yenye mchanganyiko wa nyanya, karoti, kitunguu na hoho.
8. Sasa mzigo umeiva uko tayari kuliwa kwa chakula aina ya wali, ugali au chochote utakachoona kinafaa kuliwa kwa mboga hizi. hapa nitakula kwa ugali.View attachment 1177893
11. Ugali tayari umeiva na nimeupakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.
Karibuni sana tule ugali wa kibachela ambapo hakuna kuhoji hata kama haujaiva vizuri, ukizidisha chumvi kwenye mboga unauchuna na kula kibishi maana hauna wa kumuuliza kwa nini chakula kimekuwa cha namna hii kama wale ambao wana wake zao.View attachment 1177905
Acha kwanza tabia mbaya ya kuwashughulikia wenzako![emoji41][emoji41][emoji41]Unakula ugali peke yako au una mgeni pembeni?
Hongera kwa mlo bomba.
Hapa nakupa 0 ya 100
Siwezi ndio kwaanza kasi imeongezeka.Acha kwanza tabia mbaya ya kuwashughulikia wenzako![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1177990
Haha kwamba tumboni kuna chumba na sebule. Ila kuna wanaume wanakula mpaka sio vizuri😂😂Huo ndio ugali wa kiume....[emoji23][emoji23]
Mwendo Wa Mafiga MatatuKweli kabisa mkuu
10. Ugali katika hatua za mwisho za kuivaView attachment 1177898