Jikoni na Mwifwa, upishi wa mboga(samaki)

Huu ugali uliisha na uliliwa na watu wangapi?
 
Haha kwamba tumboni kuna chumba na sebule. Ila kuna wanaume wanakula mpaka sio vizuri[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu picha ya huyo mtu uliyotuwekea juu ya bandiko lako ni ya aina gani ya binadamu?

Dume jike ama ina represent nini kwenye mukatadha wa habari hii?
 
Kabla ya kujua huko chini unapika nini ila huo ukataji wakaroti sio
Dah...umeona eeeh....kama unapika kwa zaidi ya nyuzi joto 60°C karoti zinatakiwa ziwe na umbo la pembe 4 (cube) kwa kipimo kisichopungua milimita 4....ili zisipoteze virutubisho ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
@Mwifwa huu ugali wote ulikula mwenyewe?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…