Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa


Sasa kumbe unajuwa huku unauliza
 
Hivi prof lipumba hajawahi fundisha udsm?

Duh, kama aliwahi kufundisha basi itakuwa miaka ya zamani sana ambapo wengi wetu tulikuwa hatujatia timu Ud, maana yule jamaa aliingia kwenye siasa zaidi ya miaka ishirini iliyopita, so sidhani kama wengi wetu walimkuta akiwa mkufunzi...
 
Dr. Joyce Nyoni, Dr. Datius Rweyemamu, Dr. Thomas Ndaluka, Dr. Vendelin, Dr. Nandela, Dr. Kamugusha, Dr. Dauda Masoud, Prof. Msoke, Prof. Mwaipopo.....vichwa vya dept ya sociology hvo
 

KUNA HUYU NAONA HUAMTENDEA HAKI

PROF....TOLLY MBWETTE..........nadhani vile viti vya cement mlivyokalia vyote UDSM ni yeye aliyeviasisi...vimbwette....kila chuo hapa tanganyika vipo..............

kuna bwana moa nakumbuka nilikutana nae sudan.....aliniacha hoi si kidogo......aliniambia alikuwa TUKI miaka hiyo...watanganyika mkkutana nchi za watu....mwanzoni aliitambulisha ANAITWA TIGIT SENGO........NIKAMKARIBISHA KWAWENYEJI WETU ...UTAMBULISHO ULINIACHA HOI......PROF....DR.....SHEIK TIGIT SENGO.....KWAPEMBENI AKNIAMBIA PIA NI MGANGA WA KIENYEJI...........HUYU NI MTAALAM WA LUGHA HASWA KISWAHILI.....SIAWAHI ONANA NAE TENA.....MNAOMFAHAMU TUUZENI ZAIDI HUYU PROF YUKO WAPI.....KUNA MWINGINE NILIMKUTA RWANDA...PROF WA KISWAHILI ...PROF EMMANUEL MBOGO ALINIAMBIA NI ZAO LA UDSM
 
Udsm mnaraha sana...wenzenu chuo kimejaa ma tutor et ndo wakuu wa department
 
Prof.senkoro,prof.kahigi, prof.njabiri.dkt..ishengoma
 
Prof Nyahumwa enzi akiwa Dr Engineers wengi hawatamsahau kwa jinsi alivyokuwa anawakamata kwenye Strength of Material ME 101

Dr.NN()Nalitorela ;Dr. Bisanda ;Dr Elias;Dr J Runyoro;Dr.Nyamwihura;Dr Mvungi;Dr Manyahi;Dr Mshoro;Dr Kyaruzi;Dr Nzali;Dr John;Dr Kahambwa;Prof Mshana;Dr Mhilu;Dr Nyahumwa nk hiyo ni FoE 1994
 
mimi nina wa admire ma Dr na Ma Prof tatizo nchi yetu haiwathamini kimapato ndio maana wengi wanaingia au wanakimbilia kwenye siasa.
So sad na wengine waliishia kufuga ngombe kujikimu kimaisha
 
Kuna yule mchagga anafundisha statistics first year anakujaga amelewa asubuhi simkumbuki jina.
 

TBT at all times is Prof Burton Mwamila...principle wa kwanza wa COET...Engineers of UDSM you know what I am talking about...! Current isvthe VC of Nelson Mandela University at Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…