Jilinde kwa kutumia Stun gun

Jilinde kwa kutumia Stun gun

Yes, ili umpige shoti ni lazima umgusishe meno ya stun gun ambayo ndiyo yanatransfer currect
Kama hadi ni hadi umguse hiyo sasa ni hatari kwa mmiliki, mwiz au mtu hatar atakupora akupige short wewe, kwa maana nyingine hakuna tofaut na panga.
 
Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Nahtaj hii kitu
 
Kama hadi ni hadi umguse hiyo sasa ni hatari kwa mmiliki, mwiz au mtu hatar atakupora akupige short wewe, kwa maana nyingine hakuna tofaut na panga.
Umakini wako tu mkuu ni kifaa ambacho kwa udogo wake Unaeza weka ata mfukoni sio rahisi Adui kujua
 
Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Je kifaa icho hamiwezi kuleta madhara ya kifo ikiwa kikitumiwa exesive?
 
Je kifaa icho hamiwezi kuleta madhara ya kifo ikiwa kikitumiwa exesive?
Kila kitu kina madhara kikitumika vibaya, lengo kubwa LA iki kifaa ni kujilinda ukikitumia kwa matumizi Ayo hakiweki sababisha matatizo ayo
 
Inapiga shot umbali gani ? Mkuu maana nilishawahi kuvamiwa na wezi zaidi ya 10 je inauwezo wa kupiga watu wangapi shoti kwa mara moja?
 
Aisee kama kumiliki pepper spray inabidi ukanunue pale mizinga na uonyeshe ID yako iweje kumiliki hiyo stun gun iwe kirahisi hivyo?

Usije ukawapa watu misala wakashindwa kuimaliza mkuu.
 
Ukipiga mtu shot asipo zimia kabisa atalala na ww mbele vibaya sana utakuwa umemzidishia mahasira
Hahahah uzuri wa hio kitu ule mshituko wake hata hamu ya ngumi au kukaba anakuwa hana tena maana shoti husisimua neva zote za mwili na kutikisa mapigo ya moyo! Hawezi kuwa na nguvu we imagine ukishikaga switch na maji tu ama naked electric wires hata kwenye pasi jinsi inavyokuwa noma japo ni sekunde moja tu!

Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!
 
Hahahah Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!
Ndiyo nacho waza mimi mkuu.... Unaweza ukajikuta unakula kichapo heavy
 
Ndiyo nacho waza mimi mkuu.... Unaweza ukajikuta unakula kichapo heavy
Amna jiamini tu mkuu, ni ngumu mtu ku spot una nini mkononi maana wengi hawajui kama ni kadogo mtu anaeza hizi una simu! Cha msingi ni kumsakamizia ila pia hamtakiwi kushikana maana nadhani wote itawachapa short
 
Inapiga shot umbali gani ? Mkuu maana nilishawahi kuvamiwa na wezi zaidi ya 10 je inauwezo wa kupiga watu wangapi shoti kwa mara moja?
Inabidi umgusishe mhusika Ndio umpige shoti, uharaka wako Ndio utaamua wingi wa wahusika
 
Aisee kama kumiliki pepper spray inabidi ukanunue pale mizinga na uonyeshe ID yako iweje kumiliki hiyo stun gun iwe kirahisi hivyo?

Usije ukawapa watu misala wakashindwa kuimaliza mkuu.
Hakuna tatizo lolote kisheria, ina ruhusiwa kwa ulinzi binafsi, kujiridhisha fatilia utapata majibu, zinaruhusiwa.
 
Back
Top Bottom