Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
- #81
SKMOFFER
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hadi ni hadi umguse hiyo sasa ni hatari kwa mmiliki, mwiz au mtu hatar atakupora akupige short wewe, kwa maana nyingine hakuna tofaut na panga.Yes, ili umpige shoti ni lazima umgusishe meno ya stun gun ambayo ndiyo yanatransfer currect
Nahtaj hii kituStun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Karibu Sana, nipigie 0656190449Nahtaj hii kitu
Umakini wako tu mkuu ni kifaa ambacho kwa udogo wake Unaeza weka ata mfukoni sio rahisi Adui kujuaKama hadi ni hadi umguse hiyo sasa ni hatari kwa mmiliki, mwiz au mtu hatar atakupora akupige short wewe, kwa maana nyingine hakuna tofaut na panga.
Karibu mkuu nipigie 0656190449Mimi nahitaji taser
Je kifaa icho hamiwezi kuleta madhara ya kifo ikiwa kikitumiwa exesive?Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Kila kitu kina madhara kikitumika vibaya, lengo kubwa LA iki kifaa ni kujilinda ukikitumia kwa matumizi Ayo hakiweki sababisha matatizo ayoJe kifaa icho hamiwezi kuleta madhara ya kifo ikiwa kikitumiwa exesive?
Unapompiga shoti wewe haikudhuru pia?Unaweza kumpiga ili aishiwe nguvu au pia kumzimisha itategemea na kiwango cha shoti unayompiga
Hahahah uzuri wa hio kitu ule mshituko wake hata hamu ya ngumi au kukaba anakuwa hana tena maana shoti husisimua neva zote za mwili na kutikisa mapigo ya moyo! Hawezi kuwa na nguvu we imagine ukishikaga switch na maji tu ama naked electric wires hata kwenye pasi jinsi inavyokuwa noma japo ni sekunde moja tu!Ukipiga mtu shot asipo zimia kabisa atalala na ww mbele vibaya sana utakuwa umemzidishia mahasira
Ndiyo nacho waza mimi mkuu.... Unaweza ukajikuta unakula kichapo heavyHahahah Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!
Amna jiamini tu mkuu, ni ngumu mtu ku spot una nini mkononi maana wengi hawajui kama ni kadogo mtu anaeza hizi una simu! Cha msingi ni kumsakamizia ila pia hamtakiwi kushikana maana nadhani wote itawachapa shortNdiyo nacho waza mimi mkuu.... Unaweza ukajikuta unakula kichapo heavy
Bose brandSoundbar 95k? Ya aina gani hiyo mkuu?
Inabidi umgusishe mhusika Ndio umpige shoti, uharaka wako Ndio utaamua wingi wa wahusikaInapiga shot umbali gani ? Mkuu maana nilishawahi kuvamiwa na wezi zaidi ya 10 je inauwezo wa kupiga watu wangapi shoti kwa mara moja?
Hakuna tatizo lolote kisheria, ina ruhusiwa kwa ulinzi binafsi, kujiridhisha fatilia utapata majibu, zinaruhusiwa.Aisee kama kumiliki pepper spray inabidi ukanunue pale mizinga na uonyeshe ID yako iweje kumiliki hiyo stun gun iwe kirahisi hivyo?
Usije ukawapa watu misala wakashindwa kuimaliza mkuu.
Hapana haikudhuru, sehemu unayoshika haipitishi umemeUnapompiga shoti wewe haikudhuru pia?