Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsoluteNasikia hapo Nyamagana upepo ni wa Pambalu
Nasikia hapo Nyamagana upepo ni wa Pambalu
kwanza hata 2015 hakupita alibebwaTo be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.
Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
Ataenda kukaa kwa shemeji yake alikoolewa dada yake.Sasa Mabula atakwenda wapi !.
Hao wachawi ndiyo walimharibia gari hata akapewa msaada na Mkurugenzi?To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.
Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
Khaa ukiandika kwa Kiswahili utachapwa viboko, au?..Is most Competence...
Mabula anavunja rekodi ya kuwa mbunge vipindi 2 mfululizo.
Hivi nyie wana CCM mbona mnamajina ya ajabu hivi?Ndoto huwa nzuri mno ajabu hubaki kuwa ndoto!
Pambalu hana maajabu yoyote,hawezi kuwa mbunge.Mkuu ukiandika uzi weka na ka picha ka nyomi la mikutano ya pambalu.
Jamaa mnamnadi hata picha zake hamtupii tumuone
Khaa ukiandika kwa Kiswahili utachapwa viboko, au?