Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Haka kalugha tunapenda kukatumia Ila kanachanganya flan. Unakuwa salama zaidi kama ukikakwepa na kukatumia pale tu inapolazimu. Ukijenga nako mazoea sana, hakachelewi kukuacha mavodo wazi.
😛😛......eti wanatudanganya tu wazalendo kwakuongea kilugha tuwe wakweri hayupo hataki kuongea kidhungu fresh vinginevyo tukubari hatukiwezi ......
 
Kwa tunao mjua John Justin pambalu Ni Born leader.

Ni mtu ambae huwezi mpigia magotii ili akusaidie au akusikilize.

Ni Aina ya watu wenye khaliba ya Julius nyerere Ni Aina ya kijana Alie lelewa vyema na WAZAZI wake mzee Justine pambalu

Ni mtu wa watu kijana muungwana Sana na asiye na mawaa

JOHN PAMBALU NAE MJUA MIMI YUPO LADHI ATUMIE PESA ZAKE ZOTE ZA POSHO KUTATUA SHIDA NA KERO ZA WANANCHI.

Kwa wasio mjua John Justin Pambalu Ni mcha MUNGU Tena Ni mkatoliki pure..

TUKIWA ELIMU YA JUU SEKONDARY NAKUMBUKA ALIVUTIWA SANA NA SIASA
NAKUMBUKA ICHI KISA KWENYE MCHAKATO WA KATIBA MPYA YA MZEE WARIOBA

Tukiwa boding school Siku iyo Nakumbuka shule iliwekwa chini ya ulinzi wa usalama wataifa.

John justin pambalu alizungumza bila woga Mambo mazito kuhusu Katiba na Madarakani makubwa aliyo nayo Raisi wa Tanzania.

Nakumbuka hiyo speech iliwainua KWENYE viti viongozi mbali mbali walio kuwepo kwenye mdahalo kiasi kwamba halima mdee na baadhi ya wenzake walienda kumtuza nakumbuka ile zawadi ya Katiba aliyo pewa.

WENGI WALISHANGAA KIJANA MDOGO KUTEMA MADINI TENA KIJANA MDOGO KUTEMA MADINI YALIYOKUA YANAMZIDI UMRI.

Walikuja usalama wa taifa na video clip walisakwa watu wa5 wakapatikana Nacho kumbuka walirudishwa shuleni wakiwa hawawezi kukaa Wala kutembea vizuri Lakini si kwa pambalu.

Wote tulishangaa kwa nini pambalu hakuguswa nilipo muuliza alinambia KILA nilipo itwa kuhojiwa nilikua na SALI

Hapo ndipo utajua john Ni mtu wa namna GANI

Tunao mjua John Justin Pambalu kipindi hicho hajulikani hata kijereshi...
Akiwa kijana mdogo tu na mtu wa kawaida Tena mwanafunzi bila ukwasi
Alikua na kawaida ya kujichanga na kukusanya sabuni, sukari mafuta na mahitaji ya kininadamu na kwenda kutembelea magerezani na kwa watu wenye uhitaji vituo vya kulelea mayatima huyo dogo ana Utu Sana...

Kubali katana STANSLAUS MABULA kitabia sio mtu wa watu....
CCM walikosea kuchagua
Mtu wa kui wakilisha NYAMAGANA

HATA RAISI MAGUFULI hazi ivi chungu kimoja na MABULA
Aliwai kusema Kama nyamagana ingeweka mtu makini lazima angewapa waziri au naibu waziri...

JOHN PAMBALU
Ntakuja kumuelezea vizuri siku za usoni

All in all MUNGU MWENYEZI MWINGI WA KHERI mfanyie wepesi katika ndoto yake ya KUA mbunge wa nyamagana.
 
John Pambalu ni mwanasiasa mzuri sana kama asipoiga zile siasa zao za kijinga eti unaongea hadi mishipa ya shingo inachachamaa na mavi yanatoka kidogo, labda nimwambie tu kwamba huu upepo sio wa kwao atulie tu.....
 
To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.

Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
Huyo mabula ni chama gani, na Pambalu Ni chama gani?
 
To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.

Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
"..is most Competence"[emoji3582]

Corrections;
1.Most hutanguliwa na the= the most
2.Competence ni hali, competent ndio nomino= competent.
3. Kwa kuwa unalinganisha watu wawili usingetumia neno "most" ungetumia "more"= more competent

Sio lazima kutiamo kiingereza ndio unakuwa umeonesha msisitizo..lugha ya watu hii.. watakufunga!
 
Mfundisheni na Jiwe sasa
 
"..is most Competence"
emoji3582.png

Corrections;
1.Most hutanguliwa na the= the most
2.Competence ni hali, competent ndio nomino= competent.
3. Kwa kuwa unalinganisha watu wawili usingetumia neno "most" ungetumia "more"= more competent

Sio lazima kutiamo kiingereza ndio unakuwa umeonesha msisitizo..lugha ya watu hii.. watakufunga!
Acha kukalili mimi nimganda . sasa how you can teach my mother tongue.
 
Ili jimbo nila term moja tu hatuna mahaba hayo ya kumrudisha mtu mala mbili ..

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom