Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Uchaguzi 2020 Jimbo la Nyamagana, Mabula huwezi kutoboa I swear

Kwa wasiojua kinachoendelea Nyamagana ni kwamba imefika mahala Joho Pambalu akisimama kuongea anapokelewa na vibe kubwa kiasi kwamba hapati nafasi kabisa ya kunadi sera zake,, watu wa Nyamagana kwa Pambalu sio mahaba tu bali mahabuba
 
To be honest Mabula you can't win this Nyamagana constituency , due to the Fact that Mr John Pambalu ..Is most Competence.

Nyamagana hakuna uchawi wowote kama unavyodai kuwa Pambalu kaleta waganga .
Hao wachawi ndiyo walimharibia gari hata akapewa msaada na Mkurugenzi?
 
Mkuu ukiandika uzi weka na ka picha ka nyomi la mikutano ya pambalu.

Jamaa mnamnadi hata picha zake hamtupii tumuone
 
Back
Top Bottom