GE2025 Jimmy Mafufu: Polepole anatamani kuishi maisha ya awamu ya 5 kwenye awamu ya 6

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.

Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.

Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.

Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.

Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.

Jimmy Mafufu amemjibu Humphrey Polepole kwa kauli kali na yenye mafumbo, akionekana kumkosoa baada ya Polepole kujiuzulu nafasi ya ubalozi.

Muktadha wa Majibu ya Mafufu

Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.

Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.

Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.

Hahah hao ndo watetezi wa Samia.🤣

MTU anaacha Ubalozi, alafu unamuona ana njaa ya maisha??
hawa ni wapumbavu lakini pole pole siwezi kuamini ni mmoja ya watu aliowaumiza sana raia enzi za Jiwe alikua na nguvu kuliko yeyote ukimtoa magufuli labda na Makonda
 
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.

Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.

Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.

Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.

Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.

Huyu nae mvuta mibangi ana nini?.....
Halafu kwani Polepole kauliza swali mpaka ajibiwe?...
 
Back
Top Bottom