Gentleman 🐒😁😁😁Yani Jimmy Mafufu nae ni level ya Pole Pole 😂😂😂😂😂 nchi ina matahira wengi...Atakuja Lukas na plapla na choicevarable kusema gentleman, na watabubujikwa machozi kwamba wanaijua ccm kuliko pole pole 😂😂😂
Hao wasanii wanaoishi kwa kugeuzwa hapa mjini akili watatoa wapi?Chawa huyo
Ahahahaha daaah nlisahau hicho chimp 😂😂😂 kububujikwa na machozi ndio inanitokea saivi....Gentleman 🐒😁😁😁
Anavyotunisha mishipa ya shingo kama kenge kameza yai la kupika. Ponjoro kama walivyo Ponjoro wengine in actionMsanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Huyu sio wa kumjibu polepoleJimmy Mafufu amemjibu Humphrey Polepole kwa kauli kali na yenye mafumbo, akionekana kumkosoa baada ya Polepole kujiuzulu nafasi ya ubalozi.
We boga hii sio awamu ya sita 🤔🤔Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
😁😁😁Ahahahaha daaah nlisahau hicho chimp 😂😂😂 kububujikwa na machozi ndio inanitokea saivi....
Tazameni Hii Ponjoro nayo inajitutumua kumjibu Polepole !!.
Hii Pimbi nauhakika hata Buku haipewi ,ni kijitutumua tu ionekane !!.
Ila wafahamu neno hili ya kua , Once Kuna Regime Change !!!!
View: https://x.com/HabariDigital_/status/1946214477185122543
Lissu yupo ndani kwa sababu ya yale aliyoongea..Kwamba uhuru wa kujieleza unamipaka??
Wenye akili au wanaotakiwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kujieleza na kutoa mawazo tusioyataka ni wajinga na machawa!!
SA100 alipo anatama ampe kitita😂Hahah hao ndo watetezi wa Samia.🤣
MTU anaacha Ubalozi, alafu unamuona ana njaa ya maisha??