GE2025 Jimmy Mafufu: Polepole anatamani kuishi maisha ya awamu ya 5 kwenye awamu ya 6

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani kupendwa na mahousegirl huko kwenye tamthilia uchawara ndio ameshajiona level ya Polepole!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
Anajiona kipunje wa panguso
Anammudu kila mtu kwenye tamthilia yake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Anko Lusajo bwana
Basi anajiona hata polepole anammudu๐Ÿคฃ
 
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.

Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.

Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.

Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.

Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.

Huo uchafuzi wa kuingia awamu ya sita, ulifanyika lini. Au upo kwenye filamu
 
Yaani nchi uhuru umezidi sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mafufu ana uwezo gani wa kumjibu Polepole?

Au anapayuka tu huko kama anavyopayukaga kwenye film zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yaani nchi uhuru umezidi sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mafufu ana uwezo Gani wa kumjibu polepole?

Au anapayuka tu huko kama anavyopayukaga kwenye film zake ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mafufu anautumia uhuru wa kupumua vibaya๐Ÿคฃ
 
Ni mshenzi sana
Linapayuka utasema linawafokea malofa wenzie wanyonge wake wa kwenye tamthilia.
Yaani Mafufu ni wa kujibu hoja za Polepole?
Mama chawa wake hawana viwango,wanamdhalilisha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Limeweka na mic pumba tupu linabwabwajq
 
Mimi naropoka tu , kiukweli simjui hata huyo mafufu hapo daslamu๐Ÿ˜…
 
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.

Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.

Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.

Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.

Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.

Kumbe msanii! Huyo ni CHAWA.
CCM wanajidanganya sana. Yaani mtu anatoa hoja nzito wewe badala ya kujibu unawategemea wanao bubujikwa na machozi?
Sasa huyu anqjibu nn?
 
Back
Top Bottom