Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
😂 Jimmy kama jimmyHahah hao ndo watetezi wa Samia.🤣
MTU anaacha Ubalozi, alafu unamuona ana njaa ya maisha??

Yaani mnatuwekea ''vinyamkera'' ambavyo hata hatujui ni kina nani? Huyu ndiyo nani? Ana hadhi ya kumjibu Polepole? Takataka kabisa.Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Yaani kupendwa na mahousegirl huko kwenye tamthilia uchawara ndio ameshajiona level ya Polepole!Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Hili ndio kichwa wazi kabisa sina hakika kama waliomtuma anajua anachosemaaMsanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Hoja za pole pole hazijibiwi.Polepole kajenga hoja mchakato wa kumpta mgombea wa urais wa ccm zimekiukwa, majibu hakunaMsanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Kwa lip? Hoja mchakato wa kumpta mgombea urais hazikufuata taratibu, wajibu hapo.Lini Samia alichukua fomu? Nafasi ilitangazwa lini?Msajili alipaswa kuchukua hatua angekuwa Yuko fairMafufu yuko sahihi
Hii ni awamu ya 5, awamu ya 6 inaanza 2025. Acheni kupotosha, wewe ni Bongofleva hujui chochote. Ni heri unyamaze na uache uchawa.Msanii wa filamu Jimmy Mafufu amejitokeza kumjibu Humphrey Polepole.
Polepole anatafuta huruma na ni bingwa wa kucheza na upepo.
Mafufu ametoa kauli zinazotafsiriwa kama kumtaka Polepole kukumbuka alikotoka, akisema baadhi ya viongozi wanapoteza mwelekeo wanapojiona wamefikia kilele.
Ametumia maneno ya mafumbo kama "Aliyekwenda Cuba siyo yule wa Ubungo", akimaanisha mabadiliko ya msimamo wa Polepole.
Pia ametoa kauli kama "Ukweli hauhitaji barua ndefu, bali msimamo thabiti", akionekana kupinga urefu na uzito wa barua ya Polepole.
Taratibu zilifuatwaKwa lip? Hoja mchakato wa kumpta mgombea urais hazikufuata taratibu, wajibu hapo.Lini Samia alichukua fomu? Nafasi ilitangazwa lini?Msajili alipaswa kuchukua hatua angekuwa Yuko fair