GE2025 Jimmy Mafufu: Polepole anatamani kuishi maisha ya awamu ya 5 kwenye awamu ya 6

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Gentleman πŸ’πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Anavyotunisha mishipa ya shingo kama kenge kameza yai la kupika. Ponjoro kama walivyo Ponjoro wengine in action
 
We boga hii sio awamu ya sita πŸ€”πŸ€”
 
Mafufu atembelee tu hapo Lilongwe, akifika huko atafute wenyeji wamuonyesha mitaa ya kishua..

Wampleleke aone residence ya balozi. Majumba na mitaa wanayoishi hawa watu wanapokuwa nje ya nchi sikia tu kama ujawahi fika kwa balozi.

Magari na wenyewe wana badilishiwa kama mawaziri, kwao ni luxury Mercedes mpya, sasa hivi wanaweza kuwa wapo kwenye maybach.

Kuachia ubalozi sio shughuli ndogo kabisa, hakuna kiongozi wa CCM anaishi kama hao watu ukitoa mwenyekiti na makamu wake.

Sema mengine lakini kama ni maslahi na good life tu, hiyo Polepole ame-sacrifice.
 

Hana cha kutuambia sababu 2020 Hakuwepo CCm .
 
Kwamba uhuru wa kujieleza unamipaka Kwa Rufufu??

Wenye akili au wanaotakiwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kujieleza na kutoa mawazo tusioyataka ni wajinga na machawa!!
 
Kwamba uhuru wa kujieleza unamipaka??

Wenye akili au wanaotakiwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kujieleza na kutoa mawazo tusioyataka ni wajinga na machawa!!
Lissu yupo ndani kwa sababu ya yale aliyoongea..
Hiyo ndiyo sera ya watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…