GE2025 Jimmy Mafufu: Polepole anatamani kuishi maisha ya awamu ya 5 kwenye awamu ya 6

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yaani kupendwa na mahousegirl huko kwenye tamthilia uchawara ndio ameshajiona level ya Polepole!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Anajiona kipunje wa panguso
Anammudu kila mtu kwenye tamthilia yakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anko Lusajo bwana
Basi anajiona hata polepole anammudu🀣
 
Huo uchafuzi wa kuingia awamu ya sita, ulifanyika lini. Au upo kwenye filamu
 
Yaani nchi uhuru umezidi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mafufu ana uwezo gani wa kumjibu Polepole?

Au anapayuka tu huko kama anavyopayukaga kwenye film zake πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Yaani nchi uhuru umezidi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mafufu ana uwezo Gani wa kumjibu polepole?

Au anapayuka tu huko kama anavyopayukaga kwenye film zake πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Mafufu anautumia uhuru wa kupumua vibaya🀣
 
Mafufu anautumia uhuru wa kupumua vibaya🀣
Ni mshenzi sana
Linapayuka utasema linawafokea malofa wenzie wanyonge wake wa kwenye tamthilia.
Yaani Mafufu ni wa kujibu hoja za Polepole?
Mama chawa wake hawana viwango,wanamdhalilishaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Limeweka na mic pumba tupu linabwabwajq
 
Mimi naropoka tu , kiukweli simjui hata huyo mafufu hapo daslamuπŸ˜…
 
Kumbe msanii! Huyo ni CHAWA.
CCM wanajidanganya sana. Yaani mtu anatoa hoja nzito wewe badala ya kujibu unawategemea wanao bubujikwa na machozi?
Sasa huyu anqjibu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…