Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

hili jina ni la kuwekwa blacklist ni proffesional cheater, tamaa mbele kenge wakubwa hawa!!! pu**ff kabisa
 
[emoji12] [emoji12]
Yaan huyo mdudu nashukuru Mungu kamuadhibu kaachika yeye na mtoto wake amenifilisi akatoroka na kila kitu kwangu mwenyewe niko masomo sikuangaika kumtafuta baada ya kujua rafiki yangu kamtorosha sahizi anakuja kwangu yy na mtoto ety anatembelea magoti na machozi ya uwongo. Nilimuambia ulikuwa mzuri kabla hujaondoka sahiz umerudi mchafu unanuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…